Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF.
Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo.
Upande wa CCM
1. Emanuel Nchimbi
2. Kassim Majaliwa
Ndio wananguvu humu JF.
Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM.
Karibuni
Hamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa...
Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura.
Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF.
Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan.
Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
Guys
Tusipoteze muda sana. Presidential candidates 2030 washajulikana mpaka muda huu.
Sasa itakuwa ni watanganyika kunyoa au kusuka aidha mpokee vipande vya pesa nchi iuzwe au mchague mtu atakayelinda maslahi ya nchi..
Candidates Wenyewe ndiyo hawa hapa.
1. Tundu Antipas Lissu (Singida)
2...
Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo.
Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo
Hakuna Ubaya Wowote Kwa Mtanzania Yeyote Kuwa na Ndoto ya Kuwa Rais wa JMT!, Msiwatishe Bure Wenye Ndoto Hizo!.
Leo naomba kuzungumzia tabia mbaya iliyozuka kwa baadhi ya viongozi, kuwatisha watu wengine na kufifisha ndoto...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 kwa kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia, hivyo wanaofanya hivyo wanakiuka kanuni, miongozo na utaratibu.
Amesema kuanza mapema harakati za...
Wanabodi,
Leo nawaletea tena PMNA
Kwa wasiojua PMNA, anzia hapa PMNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!
Na PMNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu...
Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.
Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea...
Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu.
Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini, akitoka Mkristo ataingia Muislam hasa wa Zanzibar
hawa wote walikuwa wanaonekana kuwa marais 2030 lakini...
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka...
Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi yanga ndo Wananchi wenyewe, basi sisi tuna ushawishi mkubwa, japo tunaonewa na TFF na Bodi ya Ligi ambao...
Kijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye...
Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,
Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these influential...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.