ujenzi wa madarasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ridhiwani Kikwete achangia saruji ujenzi wa madarasa Chalinze, akagua miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo. Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
  2. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Kiteto Lapewa na TAMISEMI Shilingi 180,000,000 Ujenzi wa Madarasa Shule Kongwe

    MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. *Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi wa Jimbo la Kiteto kuwa jimbo limepokea fedha...
  3. Hismastersvoice

    Service Levy ya halmashauri ya jiji Temeke sasa ni kodi ya ujenzi wa madarasa na barabara

    Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga! Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
  4. N

    Uboreshaji sekta ya elimu unaendelea

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na lengo lake la kuimarisha sekta ya elimu ujenzi wa madarasa 8000 ya secondary unaendelea. Lengo la ujenzi wa madarasa haya ni ifikapo 2023 wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waweze kuanza masomo kwa wakati mmoja bila kuwepo kwa...
  5. H

    Michango ya ujenzi wa madarasa imekuwa kero Kata ya Ubaruku, Rais Samia tusaidie

    Kwanza nikupongeze kwa mwaka mmoja wa kuwa madarakani binafsi naona Mambo yamenyoka kidogo tofauti na Serikali ya Awamu ya Tano ambapo Uhuru wa kujieleza ulibanwa kweli kweli. Naomba niende kwenye keep yangu. Mh Rais sisi wakazi wa wilaya ya Mbarali kata ya Ubaruku mkoani Mbeya tunaomba...
  6. S

    Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
  7. H

    Ni dhambi ujenzi wa madarasa ya Uviko ukaenda sambamba na nyumba za walimu?

    Hivi nani katuroga? Hawa watoto tunaoenda kuwajaza maelfu na maelfu kwa pesa za msaada huku tukijipiga vifua na kutembelea vidole kana kwamba tumetoa mfukoni mwetu, Kuna ugumu Gani angalau kuweka nyumba mbili mbili kila shule Ili kurahisisha na kuongeza morali kwa walimu? Siamini kama akili...
  8. Kiboko ya Jiwe

    #COVID19 Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

    Habari! Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa? Tumeshindwa kujenga madarasa kwa fefha zetu wenyewe huku tukithubutu kununua ndege ambazo ni gharama kuliko hayo madarasa? Je, elimu...
  9. Victor Mlaki

    Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Habarini wanajamvi!.. Tunafahamu kinachoendelea juu ya ujenzi wa madarasa kote nchini chini ya ufadhili wa IMF lakini kinachofanyika kimenisukuma kuandika haya. Mosi, wakuu wa shule wamejikuta katika wakati mgumu sana kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la wakaguzi na wafuatiliaji ambao kila...
  10. K

    Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Habarini wadau. Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye matumbo yetu. Na ni hatari sana kuwa na watu wa aina hii katika taifa letu. Miongoni mwa mambo...
  11. REJESHO HURU

    Kamishina Mkuu TRA haya maagizo mafundi wa ujenzi wa madarasa kukatwa kodi kwenye malipo yao ni yako au mnataka mkwamisha Rais?

    Niende moja kwa moja kwenye mada nikiwa kama mzazi na mwana jamii nilifurahi sana kuona Serikali inatoa pesa za kwenda kujenga madarasa nchi nzima ili mwakani watoto wote watakaochaguliwa wapate nafasi ya kwenda kuanza kidato cha kwanza Pia nilifurahi kuona ujenzi wa madarasa haya wanatumika...
Back
Top Bottom