Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana.
Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English kiasi kushangilia kama mazuzu na yasemwayo yanatuaibisha WaTZ wote. Kama ni lazima kuwaingiza bungeni...
Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto ya upitikaji wa barabara ili kutokuleta madhara kwa vyombo vta usafiri na watumiaji wengine wa...
Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo.
Akizungumza jijini Dodoma...
TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA.
Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani.
Nawaza kwa...
https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC
Amesema haya:
1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa
2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo
3. Ameshauri way...
Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo
Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya
1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai
Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni
2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki.
Watu...
Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi.
Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa:
Trafiki: RTOC
Parking:
Parking
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!
Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Ni zaidi ya miezi miwili kwa nyakati tofauti kila nikipita kwenye makutano ya mataa ya Uhuru na Msimbazi nakutana na kero ya msongamano wa magari eneo hilo, mtaa yaliyofungwa kuongoza magari eneo hilo yanakuwa yamezimika na hazifanyi kazi, waliopo maeneo hayo wanadai kuwa kero hiyo imekuwa ya...
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.
McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia akitua kila nchi kushauri utawala mpya wa Syria uwe wa kuunganisha makabila na vyama vyote.
Ushauri...
Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla
Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.
Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia
2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.
3...
Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu.
Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo
1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na...
Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes.
Waelewa tatizo ni Error code 69.
Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C.
Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo.
Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu.
Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024...
Ni vyema vijiji vipimwe na kufanyiwa tathimini kama ardhi yake inafaa Kwa makazi na shughuli za kibinadamu,Kuna baadhi ya maeneo watu wanaishi kwenye mabonde au karibu na Kingo za mito,Kuna maeneo ambayo kimsingi hayafai Kwa ajili ya makazi lakini mamlaka zipo kimya.Tusingojee mpaka majanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.