kasim majaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sheiza

    Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

    Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
  2. The Burning Spear

    We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

    Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  4. Pascal Mayalla

    Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only. JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na...
  5. B

    Ikungi tunasema asante Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

    IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
  6. B

    Rais Samia aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - leo jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.
  7. Analogia Malenga

    Kasim Majaliwa: Sensa itafanyika kielekroni na tuna uhakika litafanikiwa

    Wakuu, nipo Dodoma kwenye kongamano la Tathmini na Ufuatiliaji lililoratibiwa na Tanzania Evaluation Association. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la anuani za makazi limefanikiwa kwa 85% na amesema zoezi la sensa litafanyika kielektronik hadi huko kijjijini. Japo sijaelewa ni namna...
  8. Ettore Bugatti

    Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi. Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa...
  9. B

    Ridhiwani: Mpango huu unakwenda kutengeneza wakina Mama Samia wengi, akagua ujenzi wa shule Chanika

    Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akikagua ujenzi wa shule ya Sekondari inayojengwa katika Kijiji cha Msolwa kilichopo Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani mapema leo Jumatatu Machi 07, 2022. “Mafanikio haya...
  10. J

    Waziri Mkuu Majaliwa aunda kamati itakayosimamia fedha ya COVID-19 iliyotolewa na IMF

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda kamati itakayosimamia fedha ya COVID-19 iliyotolewa na IMF jumla ya tsh 1.3 trillion. Mwenyekiti ni mh Jenister Mhagama. Wajumbe ni Dr Ndumbaro, Mh Ummy Mwalimu, Prof. Kitilla Mkumbo, Dr Mwigullu Nchemba, Dr Gwajima na Mh Awesu. Mh Majaliwa ameonya kuwa...
  11. Jasusi Uchwara

    Vita ndani ya mihimili ya Dola: Mbona hawa hawakuhojiwa?

    Kuanzia jumapili tutashuhudia mengi, Ndugai anamtisha Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa wasipomdhibiti Gwajima, atahojiwa waziri mbele ya Kamati ya Maadili. Ndugai, Waziri Wkuu aliudanganya umma kuwa Rais Magufuli haumwi kabisa na hana tatizo lolote tena aliyasema mbele ya waumini siku ya ijumaa...
  12. Roving Journalist

    Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

    WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni. Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel Ltd na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said(29). Washitakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na...
  13. G

    Matamshi ya Mh. Kassim Majaliwa kuhusiana na Bwawa la Umeme la Nyerere

    Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo. Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazini anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
  14. Kinuju

    Kassim Majaliwa: Ujenzi Bwawa la Nyerere unaendelea kwa kasi

    Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo ametembelea mradi wa bwawa la Nyerere na kuwataka watanzania kuwapuuza wale wote wanaosema mradi huo hauna faida kwa nchi. Mh Majaliwa amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi wa 6/2022 na kukabidhiwa kwa watanzania tayari kwa matumizi.
Back
Top Bottom