BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi 2022 hadi 19 Machi 2022

Hii ni kwa ajili ya kufanya shughuli 3 za Kukagua Mpango wa Matumizi ya Ardhi Bomba la Mafuta Mkoani Singida, Kukagua mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Mkoani Mwanza na Mara pamoja na Uimarishaji wa mpaka wa Tanzania na Kenya. Kazi Inaendelea Mkoani Mara.

#ArdhiYetu
#Siku365zaRaisSamia.

IMG-20220313-WA0041.jpg
 
Back
Top Bottom