Ridhiwani aungwa mkono kwenye Afya, apokea vifaa vya Afya Chalinze

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club.

"Nimepokea vifaa vya Huduma ya Afya kwa Zahanati ya Vigwaza ikiwemo vitanda vya Wagonjwa, vitanda kwa ajili ya uchunguzi, na Darubini ya kuchunguzia magonjwa toka Shirika la @lionsclubs.

Nimewashukuru na Nimewapongeza kwa misaada wanayoendelea kuitoa kwenye jamii na wanavyounga juhudi za Serikali yetu ya Awamu ya Sita kwa vitendo." @wizara_afyatz. Amesema Mhe. Ridhiwani Kikwete.
IMG-20220930-WA0017.jpg
IMG-20220930-WA0016.jpg

IMG-20220930-WA0018.jpg

IMG-20220930-WA0019.jpg

IMG-20220930-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom