Wabunge Uganda wapinga nchi yao kutumia passport ya Afrika Mashariki, wahoji uhalali wake

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
The move to have an East African Community (EAC) international passport has hit a snag in Uganda after MPs blocked it over its legality and the cost to users.

In 2016, EAC leaders agreed to upgrade the EAC passport from a regional to an international document, with Kenya and Tanzania launching it last year.

Uganda, Rwanda, Burundi and South Sudan were given until January 2019.

On Tuesday, Uganda launched the passport that costs an ordinary holder about Ksh7,187 ($70 or £55) — up from Ksh4,107$40.

The MPs, including Jacob Oboth, Michael Tusiime, Waira Majegere, Anifa Kawoya and Francis Mwijukye, queried the loyalty of some states to the community, and the laws under which the e-passport was issued.

Interior Minister Obiga Kania promised to answer all the concerns next week.
 
Hio sio kweli wabunge wanachopinga ni iinsi walivyopitisha sheria mfano kama ulipata passport mpya january mwaka huu next hautaweza itumia utabidi upate hio passport mpya wabunge wanachotaka ni kuzifase out passport za zamani kwa mda yaani ziendelee kutumika hadi pale myda wake utakapo isha au serikali iwapatie hizo mpya pasipo malipo pili bei ya hizo passport iko juu mno kwa mtu wa kawaida (Omuntu wa wansi) kumudi garama
 
hio sio kweli wabunge wanachopinga ni iinsi walivyopitisha sheria mfano kama ulipata passport mpya january mwaka huu next hautaweza itumia utabidi upate hio passport mpya wabunge wanachotaka ni kuzifase out passport za zamani kwa mda yaani ziendelee kutumika hadi pale myda wake utakapo isha au serikali iwapatie hizo mpya pasipo malipo pili bei ya hizo passport iko juu mno kwa mtu wa kawaida (Omuntu wa wansi) kumudi garama
Toina magezi
 
Chek pm mkuu
 
Kwa ile visa ya utalii kwa pamoja nchi za EAC iliishia wapi maana Tz hakuridhia iyo visa ..embu anaefahamu nioe feed back
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom