uraia pacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema haipo tayari kutumia uraia pacha ila hivi karibuni itaanza kutumia utaratibu wa hadhi maalum ambao utatoa fursa kwa wenye asili ya Tanzania waliopo nje kuchangia nchi yao. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo...
  2. GoldDhahabu

    Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

    Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake. Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake? Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000. Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka...
  3. kavulata

    Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

    Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa. Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman...
  4. B

    Serikali iruhusu uraia pacha kati ya miaka 0 hadi 35

    Tunajua serikali inahofia kuruhusu uraia pacha kwa sababu za kisiasa kwamba atatokea mtanzania huko mambele mwenye ushawishi na kuchukua nchi. Hilo tuliache. Tanzania kwa siku za hivi karibuni inajitutumua kwenye nyanja za michezo kimataifa. Mfano hivi karibuni, timu ya Taifa ya mpira wa miguu...
  5. K

    Professor Kabudi apotosha kuhusu Uraia pacha! aombe msamaha

    Msikilize Emanuel akitoa data za ukweli anzia dakika ya 17:05
  6. GoldDhahabu

    Tanzania na Suala la Uraia Pacha

    Katika Bara la Afrika lenye nchi 54, ni nchi chache tu, takriban nchi 10, ndizo zizsizokubali uraia pacha. Nchi hizo ni pamoja na Tanzania, Ethiopia na Congo D.R.C. Hata nchi jirani ambako baadhi ya Watanzania wamekuwa wakijinasibu kutaka kuhamia, yaani, Burundi, wametupiku katika hilo. Lakini...
  7. Mwl.RCT

    SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  8. B

    Serikali yatoa msimamo kuhusu Uraia Pacha

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Agnesta Kaiza leo Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
  9. Artifact Collector

    Mapendekezo: Serikali iruhusu uraia pacha kwa kuzingatia masharti yafuatayo

    Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi...
  10. Ileje

    Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
  11. ubongokid

    Ni nini faida za kuwa na Uraia Pacha?

    Habari za wakati huu, Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Uraia Pacha kwa Watanzania na watu wengine ambao wanahitaji kuwa na Uraia Pacha. Hili ni swala ambalo linahitaji mjadala wa kina, lakini je, ni zipi faida za Uraia Pacha? Mimi leo nataka nizungumzie zaidi faida za Kiuchumi...
  12. R

    Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

    Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni. Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya...
  13. Rwetembula Hassan Jumah

    Sababu gani zinafanya Taifa letu lisiwe na Uraia Pacha?

    Kwa wenye uelewa kuhusu uraia pacha naomba ufafanuzi kidogo. Maana Tanzania uraia pacha hatuna hii imekaaje, au ndo maana tunafeli kisoka? Maana baadhi ya nchi yenye uraia pacha kwenye soka zinatamba mfano Morroco.
  14. Logikos

    Uraia Pacha na Uraia wa Pili (Dual and Second Citizenship)

    Tofauti kati ya Dual na Second Citizen Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja. Uraia Pacha: Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya...
  15. Joseph_Mungure

    Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2

    Kitaifa Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2 Jumanne, Februari 21, 2023 Wadau wa suala la uraia pacha wakitoka mahakamani, kusikiliza kesi ya uraia pacha iliyofunguliwa na Watanzania Sita wanaoshi nje ya chini, iliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam. By James Magai...
  16. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  17. A

    Uraia pacha

    Kumekuwa na malalamiko kadhaa nchini kuh uraia pacha. Kuna wanaotaka Tanzania iruhusu uraia pacha na wengine wanataka tuendelee na uraia huu single. Aidha wapo wanaotaka wale waliokana uraia wa Tanzania na kupata uraia wa nchi zingine basi wapewe hadhi maalum ili wapate zile haki ambazo...
  18. Abuu Abdurahman

    Tanzania bila uraia pacha mnaibiwa wazi wazi

    Ameandika: Bongo Zozo Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo. ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena. ISIPOKUWA URAIA PACHA. Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani...
  19. S

    Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

    Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo. Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
  20. I

    Tukuze vipaji, turuhusu Uraia pacha

    Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia. Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi. Ni...
Back
Top Bottom