Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,101
Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.

Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.

Wanadai wakiripoti ubalozini majibu wanayopewa ni kwamba serikali haikuwatuma waende huko hivyo watajua namna ya kurejea Nchini. Baadhi wanafanya mawasiliano wakiwa tayari wameumizwa kingono au kupigwa au kudhulumiwa haki zao.Hali hiyo ipo sana Malaysia, Uturuki, China, Qatary, Oman, Dubai na Iraq.

Chakushangaza, wanapofanikiwa kutoroka kwa waajiri na kupata wasamaria wema wakuwasaidia hifadhi ili waweze kupata pasipoti za karatasi zakurejea Nchini maafisa ubalozi wengi wanadaiwa kutokufanya yafuatayo

1. Hakuna taarifa za familia inayoshikilia pasipoti zinazochukuliwa badala yake wanalazimisha watanzania waseme wamepoteza pasipoti kitu ambacho siyo kweli.

2. Wanakataa kuwaandikia mamlaka za nchi husika wafanye uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria za wanaohusika kuficha pasipoti za Tanzania

3. Wanapoambiwa kwamba baadhi ya pasipoti zinauzwa kwa baadhi ya makundi ya kihalifu waweze kuchunguza hakuna hatua wanazochukua.

4. Wakati mwingine wanaomba kuwasiliana na mamlaka za Tanzania kuhusu hali hii lakini wanadai, ukirudi nyumbani utaenda kusimulia ndugu zako. Unajiuliza watanzania wasipokwenda kwenye haya Mataifa wao watapata kazi yakufanya? Je wageni wa Mataifa hayo huku kwetu balozi zao zinawadharau hivi?

5. Pamoja na madhila wanayopitia wakirejea Tanzania wanahojiwa na kuwajibishwa kama waalifu wakati ukweli ni kwamba wao ni wahanga tu na serikali ilipaswa kuwawajibisha waliowaajiri kwani mikataba ya ajira wanakuwa nayo

Kwa taarifa za vijana hawa wanasema zaidi ya pasipoti elfu tano zinashikikiliwa na waajiri, wanigeria na wahalifu wengine kutoka Afrika magharibi. Siyo hivyo tu bali pasipoti hizo zinatumika na wageni kufungulia akaunti nakuzituma akaunti hizo kuweka fedha za kihalifu kukwepa kukamatwa(huko kwa wenzetu wanashindwa kutofautisha kama tunavyokwama kuwatofautisha wachina hapa bongo).

Wito wangu kwa serikali nikuhakikisha wanawaelekeza mabalozi wetu huko nje wakusanye taarifa za maeneo zilipo pasipoti zetu na kuwajulisha mamlaka za nchi hizo kuchunguza na kuchukua hatua

Pili, Serikali iwekeze kulinda watanzania waliopo nje ya nchi. Tusiwaone kama wahalifu huku tukikumbatia wageni Nchini kwetu

Tatu, pasipoti zinapotolewa na Uhamiaji zikabidhiwe kwa muhusika. Watanzania wengi wanaingizwa matatani na mawakala wanaosafirisha wafanyakazi nje. Mawakala hawa ndio wanaokabidhiwa pasipoti badala ya pasipoti kukabidhiwa kwa wamiliki.

Nne, serikali ihakikishe wafanyakazi hasa wa kazi za ndani wanaposafiri wanakuwa na mikataba.

Tano, pasipoti zote zilizopotea au zinazoshikiliwa na waajria huku zikiwa zimeripotiwa kupotea zitangazwe adharani Dunia ili kuiwekea ulinzi na uaminifu pasipoti yetu.

Sita, kila Mtanzania anayerejea nchini akiwa amepoteza pasipoti alazimishwe kueleza alipoacha pasipoti yake na huyo anayeishikilia huko nje atafutwe na kuchukuliwa hatua. Uzuri tuna mahusiano mazuri na Mataifa mengi. Hii itawafanya waajiri na wahalifu kuacha kutumia weaknes ya uelewa wa watu wetu kujinufaisha

Nasema haya kwa sababu nina uzoefu, kuna kipindi miaka ya nyuma tuliruhusu pasipoti zetu zikawa vulnerable matokeo yake ilikuwa ukisafiri nje na Pasipoti ya Tanzania unapekuliwa hadi kufikia unavuliwa nguo na hakuna tamko lililotolewa na serikali.

Hali hii inayoendelea ya mabalozi wetu kupuuzia hadhi ya pasipoti yetu huko nje itatupekea watanzania kuanza kupata matatizo tunaposafiri, tinapotafuta vibali, tunapotaka kufungua akaunti za fedha au tunapotaka kutumia pasipoti zetu kama vitambulisho.

TUSIPOILINDA KWA GHARAMA KUBWA PASIPOTI YETU TUKAACHA WATU WAZITUMIE WANAVYOTAKA TUNAKWENDA KUUMIA. MATAIFA YOTE YANAYOPIGANIA DIPLOMASIA YA UCHUMI WANAIPA HESHIMA PASIPOTI.
 
Kuna mashaka makubwa sana kuhusiana na madai yako.
Hoja yako kwa upande wangu inaibua maswali mengi zaidi kuliko majibu.
Kwanza kabisa, kwa jinsi ninavyowafahamu vizuri wa-Tanzania na namna akili zao zilivyo pamoja na utaratibu wao wa maisha ulivyo (hata wakiwa hapahapa nyumbani Tz), nasita kukubaliana moja kwa moja na hizi hoja zako.
Aidha, nchi zote hizo ulizotaja zina mfumo wa hovyo wa utawala kwa ujumla. Zina chembechembe za utawala wa kiimla (udikteta), na wala hakuna demokrasia huko. Zinafuata sera na mfumo wa Ujamaa na/au Ukomunisti, utaratibu wa utawala wa kiimla ambao kamwe haufai kufuatwa kwa sababu raia na wananchi wote ktk nchi wanachukuliwa kama mateka tu wa watawala wachache waliopo mamlakani.
 
"Kafala system" ni Utumwa mamboleo na UN ilishaorodhesha hiyo System kuwa ni Utumwa mamboleo.

Nchi zote za Ghuba zinatumia hii System ya "Kafala" Mwarabu wa Uarabuni haamini kuwa mweusi ni Equal.

Halafu utakuta mtu mweusi akipata vijihela kidogo anakimbilia kuhiji Makka. 😆

Why is the Kafala system controversial?

The kafala system is largely associated with forced labor and poor working conditions, and often includes policies such as passport confiscation by employers, predatory recruitment fees and poor living conditions.9 Dec 2022

Modern Day Slavery: the Kafala System in Lebanon​

21.DEC.2020 . 7 MIN READ
Two hundred and fifty thousand workers under the Kafala system in Lebanon are currently struggling to survive in an exploitative system. Conflicts within the country due to an economic recession and corruption add to the challenges these workers face.

4658.jpg
woXMkJpxlohBjkp-800x450-noPad.jpg
 
Tanzania ilivyo nzuri ina kila kitu halafu kuna wajinga wanakubali kufanywa watumwa!

Kuna watu wana akili kama za jongoo
 
Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.

Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.

Wanadai wakiripoti ubalozini majibu wanayopewa ni kwamba serikali haikuwatuma waende huko hivyo watajua namna ya kurejea Nchini. Baadhi wanafanya mawasiliano wakiwa tayari wameumizwa kingono au kupigwa au kudhulumiwa haki zao.Hali hiyo ipo sana Malaysia, Uturuki, China, Qatary, Oman, Dubai na Iraq.

Chakushangaza, wanapofanikiwa kutoroka kwa waajiri na kupata wasamaria wema wakuwasaidia hifadhi ili waweze kupata pasipoti za karatasi zakurejea Nchini maafisa ubalozi wengi wanadaiwa kutokufanya yafuatayo

1. Hakuna taarifa za familia inayoshikilia pasipoti zinazochukuliwa badala yake wanalazimisha watanzania waseme wamepoteza pasipoti kitu ambacho siyo kweli.

2. Wanakataa kuwaandikia mamlaka za nchi husika wafanye uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria za wanaohusika kuficha pasipoti za Tanzania

3. Wanapoambiwa kwamba baadhi ya pasipoti zinauzwa kwa baadhi ya makundi ya kihalifu waweze kuchunguza hakuna hatua wanazochukua.

4. Wakati mwingine wanaomba kuwasiliana na mamlaka za Tanzania kuhusu hali hii lakini wanadai, ukirudi nyumbani utaenda kusimulia ndugu zako. Unajiuliza watanzania wasipokwenda kwenye haya Mataifa wao watapata kazi yakufanya? Je wageni wa Mataifa hayo huku kwetu balozi zao zinawadharau hivi?

5. Pamoja na madhila wanayopitia wakirejea Tanzania wanahojiwa na kuwajibishwa kama waalifu wakati ukweli ni kwamba wao ni wahanga tu na serikali ilipaswa kuwawajibisha waliowaajiri kwani mikataba ya ajira wanakuwa nayo

Kwa taarifa za vijana hawa wanasema zaidi ya pasipoti elfu tano zinashikikiliwa na waajiri, wanigeria na wahalifu wengine kutoka Afrika magharibi. Siyo hivyo tu bali pasipoti hizo zinatumika na wageni kufungulia akaunti nakuzituma akaunti hizo kuweka fedha za kihalifu kukwepa kukamatwa(huko kwa wenzetu wanashindwa kutofautisha kama tunavyokwama kuwatofautisha wachina hapa bongo).

Wito wangu kwa serikali nikuhakikisha wanawaelekeza mabalozi wetu huko nje wakusanye taarifa za maeneo zilipo pasipoti zetu na kuwajulisha mamlaka za nchi hizo kuchunguza na kuchukua hatua

Pili, Serikali iwekeze kulinda watanzania waliopo nje ya nchi. Tusiwaone kama wahalifu huku tukikumbatia wageni Nchini kwetu

Tatu, pasipoti zinapotolewa na Uhamiaji zikabidhiwe kwa muhusika. Watanzania wengi wanaingizwa matatani na mawakala wanaosafirisha wafanyakazi nje. Mawakala hawa ndio wanaokabidhiwa pasipoti badala ya pasipoti kukabidhiwa kwa wamiliki.

Nne, serikali ihakikishe wafanyakazi hasa wa kazi za ndani wanaposafiri wanakuwa na mikataba.

Tano, pasipoti zote zilizopotea au zinazoshikiliwa na waajria huku zikiwa zimeripotiwa kupotea zitangazwe adharani Dunia ili kuiwekea ulinzi na uaminifu pasipoti yetu.

Sita, kila Mtanzania anayerejea nchini akiwa amepoteza pasipoti alazimishwe kueleza alipoacha pasipoti yake na huyo anayeishikilia huko nje atafutwe na kuchukuliwa hatua. Uzuri tuna mahusiano mazuri na Mataifa mengi. Hii itawafanya waajiri na wahalifu kuacha kutumia weaknes ya uelewa wa watu wetu kujinufaisha

Nasema haya kwa sababu nina uzoefu, kuna kipindi miaka ya nyuma tuliruhusu pasipoti zetu zikawa vulnerable matokeo yake ilikuwa ukisafiri nje na Pasipoti ya Tanzania unapekuliwa hadi kufikia unavuliwa nguo na hakuna tamko lililotolewa na serikali.

Hali hii inayoendelea ya mabalozi wetu kupuuzia hadhi ya pasipoti yetu huko nje itatupekea watanzania kuanza kupata matatizo tunaposafiri, tinapotafuta vibali, tunapotaka kufungua akaunti za fedha au tunapotaka kutumia pasipoti zetu kama vitambulisho.

TUSIPOILINDA KWA GHARAMA KUBWA PASIPOTI YETU TUKAACHA WATU WAZITUMIE WANAVYOTAKA TUNAKWENDA KUUMIA. MATAIFA YOTE YANAYOPIGANIA DIPLOMASIA YA UCHUMI WANAIPA HESHIMA PASIPOTI.
Mbona tumemuona Rose akishindikizwa na waajiri wake na watoto wanamlilia hawataki aondoke?

Mitanzania mingi ni mivivu, wanafikiri wakienda huko kuna kubweteka kijinga au kuna kuwacha kazi wakati wowote kama wafanyavyo wakiwa Tanzania.

huko ukifika kwa kuajiriwa passport inazuiliwa mpaka siku yako ya kusafiri, mwajiri wako ndiyo sponsor wako.

hakuwachii mpaka gharama ulizomuingiza mwajiri kukupeleka zirudi. La hutaki unazilipa unapewa passport yako eyapoti wakati unasafirishwa kurudi kwenu.

Kwani walienda kutalii huko hata wakae na passport?

Kinachotakiwa wapewe elimu ya watacho kumbana nacho huko kabla ya kwenda.
 
Doh! Sio kila taifa la kwenda kikazi
Watanzania wengi ni watu wa kukurupuka, janja-janja nyingi, kutaka kupita njia za mkato au kutegemea bahati nasibu na miujiza ktk kuyafikia mafanikio yao. Kabla ya kuamua kuondoka kutoka kwenye nchi yako ya asili na kwenda kwenye nchi nyingine ili kutafuta maisha, unatakiwa ujipange sawasawa. Hii ni pamoja na kufanya kwanza utafiti wa kina kabisa kuhusiana na nchi unayotaka kwenda au kuhamia. Kutokana na Mfumo wetu wa elimu uliopo hapa Tz pamoja na tamaduni zetu za hovyo, wa-Tanzania wengi hawafanyi kwanza utafiti, badala yake wanakurupuka na kwenda kwenye nchi za watu ugenini bila ya kujiandaa vya kutosha na mwishowe wanaishia kukumbana na madhila kama haya.
 
Usitegemee hizi Serikali za Kiafrika kama zitakusaidia NEVER! jua kuwa uko peke yako.

Angalao nimeona Serikali ya Philippines inajitahidi kutetea raia wake.

Sijawahi kuona Serikali ya Kiafrika ikitetea raia wake wanaoteseka ughaibuni.

Juzi juzi huko Gaza tumeona serikali za THAILAND na PHILIPPINES zilivyowachomoa watu wake waliokuwa wametekwa na Hammas huku Tanzania ikizubaa hadi Watanzania kuuwawa mwingine kafa jana.
 
Nawajua watu wanafanya kazi huko tangu 2010 mpaka leo wanaongeza tu mikataba...Nyie mnaenda ughaibuni ya wapi ..

Kazi zote za ndani ni utumwa kila siku ni balaa tukileta kesi hapa za watu waonyanyaswa ni nyingi mno hapa Tz tu.
 
2017-03-31_10.45.20.jpg

Wengine wanajirusha kutoka maghrofani baada ya kukazwa kusikoisha unakuta familia moja ya Kiarabu ina vijana watano na wote wakitoka shule wanapeana zamu ya kumkaza Mfanyakazi wa ndani na akipata mimba wanampeleka kwa Dokta inatolewa ili waendelee kumkaza.

Very sad.
 
Back
Top Bottom