vijana wa kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwiba1

    Namna elimu ya chuo ya Tanzania ni kupoteza muda kwa kijana wa kitanzania hususa ni karne hii.

    Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata tamaa. Wasomi endeleeni kutafuta kazi n.k Ninajua juu ya uzi huu basi wasomi na wanazuoni wazee wa...
  2. Powell Gonzalez

    Je, vijana wa kitanzania wanafahamu juu ya faida za kuwekeza katika umri mdogo?

    Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo; 1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
  3. F

    Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

    Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu. Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi. Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

    Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe. Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
  5. J

    Serikali iwe makini, Urusi imekuja na mbinu hizi kuchukua vijana wa Kitanzania kwenda kupigana Ukraine

    Siku za karibuni nimekuwa nikiona matangazo mengine matandaoni ya kuwavutia vijana kwenda kusoma bure Urusi. Kabla ya vita hii inayoendelea sikuwahi kuona matangazo kama haya Sasa ukitazama kuna vijana kadhaa kutoka Afrika waliokuwa wanasoma huko wamefia vitani halafu wote walikuwa jela Hii...
  6. Sildenafil Citrate

    Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  7. E

    SoC02 Dimbwi la ajabu lisilo na mipaka wala eneo maalum linaloangamiza vijana wa Kitanzania

    Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
  8. M

    Vijana wa Kitanzania watauana sana kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa kama fasheni. Ndoa ni mkataba mzito sio wa kuvamia hovyo

    Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa. Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume. Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na...
  9. Teko Modise

    Janga lingine kwa vijana wa Kitanzania ni hili hapa

    Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha. Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za...
  10. B

    Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  11. Gnyaisa

    SoC01 Vijana wa Kitanzania ni mfano wa Dhahabu safi isiyong'aa!

    Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia ni kuzaliwa katika taifa la Tanzania na kuishi katika zama hizi tulizopo. Yawezekana walioishi zama...
  12. Chagu wa Malunde

    Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

    Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab. Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia. Hata hayati...
  13. smarte_r

    Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    - Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia. - Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili. - Waliochukua mkondo wa masomo ya...
Back
Top Bottom