waziri jafo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  2. BARD AI

    Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  3. BigTall

    Waziri Jafo apongeza kazi ya NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira wa kelele, asema baa zilizofungiwa zote zitafunguliwa

    Akizungumza Bungeni leo, Selemani Saidi Jafo ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira amesema Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kazi nzuri ya kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Amesema asilimia kubwa ya baa...
  4. Teko Modise

    Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  5. Roving Journalist

    Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
  6. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  7. J

    Waziri Jafo: Wananchi nunueni Majokofu mapya yale ya mitumba yanachafua hali ya hewa!

    Waziri wa mazingira mh Jaffo amewataka wananchi kuacha kutumia majokofu ya mitumba kwani yanachafua hali ya hewa na hivyo kuharibu mazingira. Jaffo amesema ni vema wananchi wakanunua majokofu mapya kwa ajili ya usalama wa afya zao. Source: Upendo tv ====== Na Ramadhan Hassan, Dodoma Waziri...
Back
Top Bottom