• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

passport

 1. S

  Zitto Kabwe ahofia kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kufungwa pindi atakaporejea nchini

  Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
 2. K

  Kumbe tatizo ni passport! Naona lile zoezi halikumalizika kwa wakati

  Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.
 3. YEHODAYA

  Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

  Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55? Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali. Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi...
 4. matunduizi

  Kwanini kwenye kubadili Passport hakuna foleni kama NIDA licha ya kesho kuwa siku ya mwisho?

  Wakuu nimekuwa nikifuatilia jamaa wanasema hakuna foleni kabisa wala msongamano kihivyo. Najiuliza: Je, sisi wabongo mambo ya kusafiri nje sio hobby yetu? Swali lingine la uzushi, hawa Idara ya Uhamiaji kwanini eti ili Mtanzania apate Passport lazima awe na kama sababu au ushahidi wa huko...
 5. kasulavenance

  Mwisho wa kutumia passport za kusafiria za zamani ni tarehe 31/Jan/2020

  Mambo yamekuwa mambo Tanzania. Wakati bado tunasumbuliwa na NIDA na usajili wa line mpya kwa wale mliokuwa na passport za kusafiria mjue kuwa mwisho wake wa kutumia hati hizi za kusafiria ni kesho kutwa. Inabidi kuanza zoezi jingine la kwenda Uhamiaji. Na shida inakuja pale unapoenda na...
 6. britanicca

  Je, wajua faida za diplomatic passport?

  Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits. Mfano: 1. Fast check to airports kwake na familia yake. 2. Diplomat immunity in case of anything kwake na...
 7. technically

  Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

  Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam. Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia...
 8. miss zomboko

  Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

  Idara ya Uhamiaji imetoa maelekezo ya kujaza fomu za maombi kwa njia ya mtandao. Msemaji wa Uhamiaji, Ally Mtanda amesema leo Februari 9, 2018 kuwa fomu hizo zipo kwa Kiswahili na kusisitiza kuwa mwombaji anapaswa kuwa na kitambulisho cha Taifa ili kukidhi moja ya sharti muhimu. “Maombi kwa...
 9. MASSHELE

  Hadithi: Bila Passport Mtoto Hataingia Nchini

  Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi. Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...
 10. Analogia Malenga

  Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

  Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73. Afghanstan imekuwa ya mwisho kwa kuwa na passport mbovu ambayo ina destinations 26...
 11. Jakamoyo msoga

  Ili kuepuka usumbufu wa kufuatilia passport yangu iliyopotea mwaka jana, siwezi kuomba mpya?

  Habari, Mimi nilikuwa na Passport ya zamani ya kusafiria lakini kwa bahati mbaya Ikapotea mwaka jana, ilikuwa sio ya kielectroniki. Je kuna madhara yeyote nikijaza kuomba ya electronic upya kama mtu ambaye ni mara yake kwanza kuomba Passport ya kusafiria? Nisieleze kama nimewahi kuwa na...
 12. budebajr

  Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

  Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
 13. figganigga

  Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

  Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam akisema, mpango wa kukiua chama hicho iliyopangwa imeshindikana na zaidi imekiimarisha zaidi chama hicho. Lissu amesema...
 14. ambatz

  Passport kwa ajili ya kusafiri na familia kwenda nchi jirani

  Habari wanajamvi, Nina safari ya kwenda nchi jirani wiki ijayo. Nataka kwenda na familia. Binafsi nina passport kubwa (electronic). Sasa mama watoto anahitaji ya kwake (naambiwa siku hizi ni one time use), na nina mchakato wa kumtafutia kesho. Mtoto ambaye ni chini ya mwaka mmoja inakuaje...
 15. K

  Passport kutolewa ndani ya siku 3

  Wakubwa hivi eti inawezekanaje Rwanda passport kutolewa ndani ya siku 3,watz tunakwama wapi
 16. M

  Umihimu Wa Kitambulisho Cha NIDA ni nini?

  Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini? Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo. Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
Top