jafo

Blue Thunder is a 1983 action thriller film from Columbia Pictures, produced by Gordon Carroll, Phil Feldman, and Andrew Fogelson and directed by John Badham. The film features a high-tech helicopter of the same name and stars Roy Scheider, Warren Oates, Candy Clark, Daniel Stern, and Malcolm McDowell. A spin-off television series, also called Blue Thunder, ran for 11 episodes in 1984.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  2. D

    Wizara ya TAMISEMI bado inamuhitaji Suleiman Jafo

    Salaam Aleikum, Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana...
  3. Mkyamise

    Kwako Seleman Jafo

    Hongera kwa majukumu yako ya kila siku. Najua unapitapita humu jukwaani. Kuna jambo la kimazingira ambalo pengine halisemwi ila lipo katika maisha yetu ya kila siku. Jambo lenyewe limetoa ajira kwa watu wengi ila ni hatari kwa mazingira yetu. Jambo lenyewe ni namna bora ya uteketezaji wa...
  4. BARD AI

    Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  5. D

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  6. BigTall

    Waziri Jafo apongeza kazi ya NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira wa kelele, asema baa zilizofungiwa zote zitafunguliwa

    Akizungumza Bungeni leo, Selemani Saidi Jafo ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira amesema Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kazi nzuri ya kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Amesema asilimia kubwa ya baa...
  7. M

    Waziri Jafo arudishwe TAMISEMI

    Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM. Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na...
  8. Teko Modise

    Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  9. Roving Journalist

    Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
  10. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  11. R

    Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla. Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
  12. Analogia Malenga

    Mara: Jafo asimamisha shughuli za uchenjuaji mtambo wa Double F

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji dhahabu katika mtambo wa Double F katika kijiji cha Nyakisya, wilayani Tarime kutokana na uchafuzi wa mazingira. Alitoa agizo hilo jana mkoani Mara baada ya kupokea malalamiko ya...
  13. Analogia Malenga

    Jafo awaonya wanaosababisha kero za kelele na mitetemo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha sauti zitokanazo na shughuli zao hazizidi viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria. Waziri Jafo amesema hayo hii leo Jijini Dodoma wakati wa...
  14. luangalila

    Kongole sana kwa Waziri Suleiman Jafo (WOMRMM) kwa Kusajili mradi Kigoma

    Kama kichwa cha habari kisemavyo. Binafsi nimevutiwa sana na uchapaji kazi wako baada ya kuhamia katika wizara ya ofisi ya makamu rais muungano na mazingira ndani ya siku takriban 60-70 tangu umetua ktk wizara iyo umefanya mambo ya tofauti sana ambayo awali hayakufanyika na watangulizi wako...
  15. Miss Zomboko

    Jafo aagiza kwa kukamatwa Mfanyabiashara aliyetelekeza makontena ya uchafu Bandarini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi wa Kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza nchini makontena zaidi ya mia tano (500) yenye malighafi ya Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika...
  16. Kasomi

    Zanzibar: Waziri Jafo aridhishwa miradi ya Muungano

    ZANZIBAR :- WAZIRI JAFO ARIDHISHWA MIRADI YA MUUNGANO Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi inayotekelezwa pande mbili za Muungano visiwani Zanzibar na kuonesha kuridhishwa na utekelezaji wake. Akiwa...
  17. M

    MHS. JAFO AMEKALIA KUTI KAVU.

    Kuna kila aina ya kukubali kuwa ripoti ya CAG imepiga upande wa TAMISEMI ambapo imesababisha kuti alilokuwa amekalia Jafo kukauka ghafla. Na ni kawaida ya mnazi kuti likikauka huwa linadondoka chini kwa matumizi mengine. Hadi sasa Mhs. Jafo amesha watoa kafara watu zaidi ya 8 anaowaweza na...
  18. T

    Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  19. J

    Kwa haya madudu anayovumbua Waziri Silinde huko TAMISEMI ni kama vile Jafo hakuwepo Mitano iliyokwisha!

    Nimefuatilia ziara ya Naibu waziri Silinde wa Tamisemi na hasa mkoani Mtwara, kwa kweli madudu ni mengi sana. Najiuliza tu mbona waziri Jafo alikuwa anatamba sana kwa kujenga madarasa na zahanati kwa kutumia fedha za ndani, kumbe zilikuwa mbwembwe tu. Huyu Silinde akiendelea hivi na huu...
  20. Japhet Karibu

    Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Back
Top Bottom