A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.
Wanajeshi wa Guinea-Bissau wamemuapisha, Jenerali Horta Nta Na Man kuwa kiongozi mpya wa mpito wa nchi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja leo Alhamisi, Novemba 27, 2025, , siku moja baada ya mapinduzi na kukamatwa Rais Umaro Sissoco Embalo wa nchi hiyo, wakati matokeo ya uchaguzi wa kisiasa...
“Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta.
Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “
-Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani.
Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari.
Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania,
lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani,
ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo.
Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend.
Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena.
man City sio tishio kabisa.
NINI WANAWAKE HUMAANISHA WANAPOSEMA WANAHITAJI "REAL MAN" [ MWANAUME WA KWELI ]?
Hii sio kauli ngeni kwa wanawake kusema wanahitaji "real man", huwa unawaelewa? Real man kwa wanawake haimaanishi ile maana ambayo dunia tunaijua, wao wana maana yao.
Bro ukiona mwanamke anakuita "real man" basi...
Kipa wa Brazil, Ederson, amekamilisha uhamisho wa kudumu kutoka Manchester City kwenda klabu ya Fenerbahce ya Uturuki.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka City baada ya miaka minane, kipindi ambacho aliisaidia timu hiyo kutwaa mataji sita ya Ligi Kuu ya England na ubingwa wa Ligi ya...
UNDERSTANDING YOUR MAN...
Men are the simplest specie I've ever handled in my life. No man is difficult, ignorance is what makes it difficult. If you want men to fall in love with you and your fiance/husband to treat you like the greatest treasure on earth, you must understand what makes a man...
kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145.
-> zijue kanuni fedha kiundani
-> zijue siri za matajiri
The man of the people ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Iliandikwa na Chinua Achebe mwaka 1966 kujadili siasa, rushwa na ubinafsi wa viongozi wa kiafrika baada ya uhuru.
Nachelea kusema, kama hukuisoma riwaya hii bado huzijui...
Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua kuanzia kijiji chake hadi anapofanya kazi, ndugu zako wote nchi nzima nje ya nchi na mahali popote...
Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole
Ipite mbali Mifumo isipite naye
Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe
Nape naye alijisahau siku aliponyoshewa bastola na Mifumo mibovu akashtuka sijui Kama ameshajifunza na...
CC
D2
UNDERSTANDING YOUR MAN...
Men are the simplest specie I've ever handled in my life. No man is difficult, ignorance is what makes it difficult. If you want men to fall in love with you and your fiance/husband to treat you like the greatest treasure on earth, you must understand what...
WHAT RESPECT FROM THE WIFE MEANS TO MEN
1. Not comparing him to other men
2. Not exposing him to the public about his failures and weaknesses
3. Not shouting at him in private or in public
4. Not belittling his achievements or contribution
5. Not making fun of his penis or sexual...
⚽Manchester United alfajiri ya leo kwenye mchezo wake dhidi ya Everton wametoka sare ya 2 - 2 na kufanikiwa kuchukua kikombe cha kwanza Cha premier league summer series nchini Marekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.