ten hag

Erik ten Hag (born 2 February 1970) is a Dutch professional football manager and former player who is the manager of Premier League club Manchester United.
Ten Hag played as a centre-back and began his career with Eredivisie club Twente. He joined De Graafschap in 1990, and won the Eerste Divisie in his first season. He rejoined Twente in 1992 and transferred to RKC Waalwijk two years later, where he remained for one season before signing with Utrecht in 1995. Ten Hag returned to Twente for a third time in 1996, where he won KNVB Cup in 2001. He retired in 2002, at age 32.
Ten Hag began his managerial career in 2012, when he was appointed by Go Ahead Eagles, where he led the club to promotion to the Eredivisie in his debut season. He then joined Bayern Munich II in 2013, winning promotion to the Regionalliga Bayern in 2014. He returned to the Netherlands in 2015 as sporting director and head coach at Utrecht. He joined Ajax in 2017, where he won three Eredivisie titles, two KNVB Cups, and led the team to the semi-finals of the 2018–19 UEFA Champions League. In 2022, he was appointed at Manchester United.

View More On Wikipedia.org
  1. Doto12

    Ten Hag hana akili sawasawa kitendo cha kuwatoa wadogo Ganacho na Mainoo kimempalia makaa. Unadhani atachomoka

    Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony ili ajisafishe kwa gharama kubwa aliyomnunua.... timu ingebaki 3 0 au ushindi wowote sifa kwa...
  2. JanguKamaJangu

    Wachezaji wanasubiri kujua hatma ya Ten Hag kabla ya kusaini mikataba

    Presha inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ikidaiwa baadhi ya wachezaji wa klabu yake hawajafanya maamuzi ya mikataba mipya klabuni hapo wakisubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo. Matokeo mabaya ya timu hiyo yanatajwa kuwa yanaweza kuwa kikwazo kocha huyo...
  3. Cheology

    Eric Ten Hag anakosea aidha hajui anataka nini Hjulmand ni aina ya mchezaji mharibifu

    Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani. Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box. Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon...
  4. JanguKamaJangu

    Majina 7 yanayopewa nafasi ya kumrithi ten Hag ndani ya Man United

    Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa baada ya kufungwa magoli 3-0 mfululizo na Manchester City na Newcastle United. Gazeti la The Sun...
  5. JanguKamaJangu

    Kocha Ten Hag afikiria kumpiga benchi Marcus Rashford

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo kushuka na kushindwa kufunga. Msimu uliopita Rashford alifunga magoli 30 lakini hadi sasa amefunga goli...
  6. Gang Chomba

    Ukistaajabu ya Ten Hag na Cristiano, utakutana na ya Capello na Ronaldo

    Baada ya vuguvugu la habari zisizo na uaminifu ndani yake, hatimae Ronaldo akihojiwa katika kituo cha Runinga cha FOX chenye matawi yake huko Amerika ya kaskazini na ya Kusini, amesema kuwa kamwe hakutaka kuondoka klabuni Madrid. De Lima maarufu kama “O fenomeno” ama elgodo ikimaanisha...
  7. Mama Edina

    Five available coach to replace Eric Ten Hag

    Man United is momently under scrutiny. Makocha watano walio na uwezekano kuinoa watajwa akiwepo ole gunner sosha. Wapo poa. Zedane. Chris Gutter. Hans Fric. Konte ---
  8. Eli Cohen

    Ungependa nani awe Kocha wa Manchester United endapo Ten Hag akiachishwa kazi?

    Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Man Utd chini ya ten Hag. Style of play hakuna, team's identity hakuna, the drive and force ya wachezaji hakuna. Ni jembe yupi ungependa achukue usukani pale Man Utd.
Back
Top Bottom