Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

Moshi25

JF-Expert Member
May 6, 2022
1,803
2,890
Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa kazini na wanafunzi wanachelewa shuleni

Nashauri asubuhi MV Magogoni ibebe abiria tu na MV Kigamboni ibebe magari tu


Namuomba Bakhresa atuletee kivuko kipya saizi ya Mv Magogoni kiwe cha kubeba abiria tu bila magari. Hizi Sea Taxi hazitoshi Kigamboni kuna watu wengi sana kwasasa vivuko havitoshi

Enzi kama hizi eti bado tunaishi kizamani watu wazima na madevu yao kukimbilia kivuko na kuanguka kwa utelezi ni aibu sana kwa nchi yetu!
 
Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa kazini na wanafunzi wanachelewa shuleni

Nashauri asubuhi MV Magogoni ibebe abiria tu na MV Kigamboni ibebe magari tu


Namuomba Bakhresa atuletee kivuko kipya saizi ya Mv Magogoni kiwe cha kubeba abiria tu bila magari. Hizi Sea Taxi hazitoshi Kigamboni kuna watu wengi sana kwasasa vivuko havitoshi

Enzi kama eti hizi bado tunaishi kizamani watu wazima kukimbilia kivuko na kuanguka kwa utelezi ni aibu sana kwa nchi yetu!
pole sana uko sawa na wangongeza sehemu za watu kushukia kupunguza misongamano isiyo ya lazima na wazabuni wawe wengi, waachane na ubinafsi na uhafidhina wa kuona serikali ndio ifanye kila kitu
 
Back
Top Bottom