Search results

  1. William Mshumbusi

    Kifupi suala la umeme limemshinda kabisa Rais

    Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu. Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme. Sipo kwenye bwawa ila nahisi vitu vitatu. 1. Tumenunua mitambo chakavu bwawa la mwalimu nyerere 2...
  2. William Mshumbusi

    Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

    Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko. Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
  3. William Mshumbusi

    Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

    Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa. Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha. Phiri kaja...
  4. William Mshumbusi

    Okra Magic ameondoka Simba akiwa wa Moto mno. Sema alipigwa Zengwe la Ulevi

    Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini Yanga wasimchukue. Okra akiwa Simba Aliifunga yanga. Akafunga de Agost magoli muhimu kabisa. Kafunga...
  5. William Mshumbusi

    Kwa upuuzi wa Viongozi wa Simba. Yanga inajipenyeza na kuchukua kilakitu alichokipigania Mo kwa Miaka mingi

    Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana. Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri. Uongozi utafukuza...
  6. William Mshumbusi

    Benchika sio kocha. Huwezi pangiwa timu

    Alivyokuja akajifanya hana mpango na Boko vile. Akaanza kuwabwaga Chama na Phiri. Na akiendelea kuwasikiliza anaenda kuiua timu kifo cha mende.
  7. William Mshumbusi

    Baada ya chama anafata Phiri

    Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
  8. William Mshumbusi

    Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

    Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni. Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja. Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
  9. William Mshumbusi

    Leo yanga watajuta kuwashitaki waamuzi CAF.

    Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma. Ila Yanga leo watajua hawajui
  10. William Mshumbusi

    Kiwango cha Ayoub kiliuliwa na Cadena. Simba haina kabisa kocha wa makipa. Sasa Wanadakia uzoefu tu

    Cadena alipoachiwa timu nikajua madhaifu yake makubwa. Mechi ya kwanza timu ilicheza na asec. Wachezaji walikuwa wamejeruhiwa misuli na mazoezi ya ovyo na magumu. Walicheza dk 40 tu wakachoka haswa. Toka alipoingia Simba viwango vya makipa viliisha kabis. Sio Ayoub, Aly Salumu na Yule...
  11. William Mshumbusi

    Kama kuna mwanasimba anayeishi Dar hataenda uwanjani kuisapoti timu basi huyo ni mnafiki

    Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho. Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho. Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana...
  12. William Mshumbusi

    Yanga ya Ligi kuu ni kama Barcelona ila Ya klabu bingwa ni kama Mashujaa tu. Je jk alikuwa sawa bado inashinda Ligi kwa mbinu sio?

    Ukiwaangalia yanga Ligi kuu ni kama barca ile ya Moto kabisa. Ya richcard. Aziz ki anakuwa kama gaucho. Pakome ni inesta mtupu, Mzize ndio Eto, mwamnyeto Puyo. Akina nzegeli nddio usiseme. Sasa watoe nje sasa. Inakuwa timu ya ovyo kabisa. Kama saudi Arabia word cup au Mashujaa ligi...
  13. William Mshumbusi

    Kama Benchika ni kocha mzuri kampeni za nini? Acheni timu ijieleze na hana ubora wa kumpiga benchi Chama. Washabiki tumechoka kuvumilia

    Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu. Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi. Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
  14. William Mshumbusi

    Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

    Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana. Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa. Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha. Naomba chama aende Azam au Yanga na...
  15. William Mshumbusi

    Sherehe ya miaka 30 ya CWT ni utata mtupu!. Je, ni kweli Rais Samia atahudhuria huku Maganga akihutubia?

    Nahisi kama Mungu ameingilia kati ili kuwanusuru walimu na hii dhahama. Uku taarifa zisizoaminika mama ndio mgeni rasmi. Taarifa zingine CCM mwanza imewanyima uwanja. Huku sisi mtaani tukilalamika cwt wanavyotupiga 2% bila kazi ya msingi.
  16. William Mshumbusi

    Chanzo cha matatizo ya Chama cha Walimu (CWT) sio Japhet Maganga

    CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga. Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana siasa za vyama vya siasa. Binafsi sioni kabisa hata ushawishi ilionao CWT kwa walimu. Wanachama wake...
  17. William Mshumbusi

    Naomba kujua Jinsi Toyota Alphard Hybrid inavyofanya kazi na Ubora wake

    1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
  18. William Mshumbusi

    Sema Ustaarabu umezidi mno ila Mechi ya Yanga na Al Ahly Aziz Ki anakesi ya kujibu

    Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni. Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fair play. Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za...
  19. William Mshumbusi

    Nilivyomsikia benchikha anasema hataangalia majina nikajua tu CHAMA atapata tabu sana Simba.

    Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama. Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia. Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane. Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui...
  20. William Mshumbusi

    Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu. Kuchonganishwa na baadhi...
Back
Top Bottom