Nilivyomsikia benchikha anasema hataangalia majina nikajua tu CHAMA atapata tabu sana Simba

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.

Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.

Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane.
Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui. Mkimpa kocha timu msimpe na majungu.
Alivyosema siangalii majina na huko nyuma nikajua Chama atakoma........

Uongozi unaweka chuki sana na wachezaji wasiowagaia mishahara. Okra, Sacko, Banda wameondoka wakiwa bora mno kuliko onana, cramo, ngoma
 
Kocha kuna viongozi wanakula na wachezaji
 
Niliwahi kumwambia mtu bifu la Phiri inawezekana linatokana na ukaribu wake na Chama. Nadhani tutaanza kuona kikosi cha kwanza cha benchi jipya mechi ijayo, hii ya jana kwa kiasi kikubwa alipangiwa au kushauriwa.

Huyu Benchicka akiona mambo hayaeleweki, ikifika January atatimka mwenyewe. Sidhani kama huyu ni dizaini za Robertinho.
 
Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.

Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.

Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane.
Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui. Mkimpa kocha timu msimpe na majungu.
Alivyosema siangalii majina na huko nyuma nikajua Chama atakoma........

Uongozi unaweka chuki sana na wachezaji wasiowagaia mishahara. Okra, Sacko, Banda wameondoka wakiwa bora mno kuliko onana, cramo, ngoma
Mbona wewe unaleta majungu
 
Nilivyosikia kocha anaitwa Benchika nikajua lazima Chama atabenchika.
 
Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.

Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.

Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane.
Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui. Mkimpa kocha timu msimpe na majungu.
Alivyosema siangalii majina na huko nyuma nikajua Chama atakoma........

Uongozi unaweka chuki sana na wachezaji wasiowagaia mishahara. Okra, Sacko, Banda wameondoka wakiwa bora mno kuliko onana, cramo, ngoma
Chama hana mbadala pale Simba, ile nafasi ya Saido wampe yeye. Kule kwa Onana ni kituko aisee wakati Phiri Yuko nje. Inawezekana sababu ni mechi ya kwanza ya kocha kajionea mwenyewe.
 
Naamini kama CHAMA angepewa dk nyingi angekuwa na impact...
Dk 20 alipoingia palikuwa na impact kuliko KIBU na ONANA wa dk 65..
 
Back
Top Bottom