Sema Ustaarabu umezidi mno ila Mechi ya Yanga na Al Ahly Aziz Ki anakesi ya kujibu

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni.

Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fair play.

Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za kushoot hashoot. Hakujituma na sikuona kabisa alichofanya. Zikapatikana free kick. Tukashangilia. Washabiki wa yanga tuzaziitaka free kick zake Penatii. Tukashangilia kweli kweli. Anafika bana anatwanga mpira unaenda juu kama parachuti. Hazilengi lango wala nini.

Huyu Aziz ki ashukuru hajawakuta akina kifukwe Fransis. Angetuambia tu alikuwa anaongea nini na wapinzani. Na kwanini aliwachekea. Angesema tuu.

Tungetuma ata mtu kule kwao. Tuone ameongeza nini kipya. Soka letu limestaarabika sana. Kuna mchezaji wa Taifa Star alibadilishana Jezi na mchezaji wa timu pinzani. Tena friend Gemu tu. Hatasahau, tuliichukua Jezi ile aliyopewa. Tukamdai jezi yetu ya taifa ile ile. Hatutaki. Ela wala nini ile ile irudi hahahahaaaa.

Aziz ki awe awe makini Engineer sio wa kitoto. Ata kama wanamlazimisha asaini mkataba mpya kwa ela kidogo na kumuaidi kumuandalia siku yake pale dar na akagoma. Ahakikishe asitoke mchezoni. Tutamla kichwa hahahah.
 
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni.

Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fear play.

Why wanamichezo mna fear play? Unajua hata maana ya hilo neno bwashee? Kwa nini usitumie tu lugha ambayo angalau kidogo unaifahamu?
 
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni.

Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fear play.

Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za kushoot hashoot. Hakujituma na sikuona kabisa alichofanya. Zikapatikana free kick. Tukashangilia. Washabiki wa yanga tuzaziitaka free kick zake Penatii. Tukashangilia kweli kweli. Anafika bana anatwanga mpira unaenda juu kama parachuti. Hazilengi lango wala nini.

Huyu Aziz ki ashukuru hajawakuta akina kifukwe Fransis. Angetuambia tu alikuwa anaongea nini na wapinzani. Na kwanini aliwachekea. Angesema tuu.

Tungetuma ata mtu kule kwao. Tuone ameongeza nini kipya. Soka letu limestaarabika sana. Kuna mchezaji wa Taifa Star alibadilishana Jezi na mchezaji wa timu pinzani. Tena friend Gemu tu. Hatasahau, tuliichukua Jezi ile aliyopewa. Tukamdai jezi yetu ya taifa ile ile. Hatutaki. Ela wala nini ile ile irudi hahahahaaaa.

Aziz ki awe awe makini Engineer sio wa kitoto. Ata kama wanamlazimisha asaini mkataba mpya kwa ela kidogo na kumuaidi kumuandalia siku yake pale dar na akagoma. Ahakikishe asitoke mchezoni. Tutamla kichwa hahahah.
Nilipoona FEAR PLAY nikajua hii ni mbusi ingine.
 
Nilipowaambia kabla ya ile mechi kwamba Yanga itamuhitaji sana Aziz Ki na asipokuwa katika ubora Yanga itapata tabu sana nadhani wengine hamkunielewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom