Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Shida ni viongozi wenye tamaa.

Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017.

Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko.

Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi kabisa kubaki. Basi figisu tu ilimradi kilamwaka wasajili.

Tena Okra alimwagwa akiwa wa moto kabisa, Chama hatakiwi kabisa, Phiri na kelele zote za washabiki katemwa. Kapombe na Inonga waliandaliwa njia ya kutokea kupitia mechi ya Yanga.

Sarry kaja kuziba gepu la kiungo mkabaji Kanute.

Simba ikiwa kileleni kabisa karibu kuwatoa Whydad msimu uliopita wachezaji wananyimwa posho.

Alafu msimu unaofata Timu inapata bilion 5 za kusajili wengine.

Kunakoelekea ni wachezaji wote bora watakaotemwa kuelekea yanga. Yani phiri, Chama, Ocra na wengine. Na simba itapitia miaka mingi ya kujivuta vuta
 
Hivi si ni sisi mashabiki ambao tulikuwa tukilia kila siku kuhusu kukosa ushindi kupitia makosa au uzembe wa hao wachezaji???

Hivi si ni sisi mashabiki ambao tulikuwa tuna imani na kocha na tulitaka kuona kocha akiachiwa timu asiingiliwe majukumu yake na uongozi??

Ni sisi hao mashabiki ambao kocha alipojitokeza kutoa maoni baada ya mchezo kuwa timu haina mshambuliaji mahiri sisi tulimuunga mkono.

Bila shaka ni sisi wenyewe ambao tulikubali kuwa huyu ni kocha wa viwango vya juu na atatufikisha mbali, tukakubaliana kumpa ushirikiano.

Then why kwenye kufanya mabadiliko katika hizo sehemu ambazo tumekuwa tukilia kwa muda mrefu tuanze kulaumu tena?

Ni kama hatueleweki tunataka nini, na hicho ndio kitu ambacho kinatuonesha sisi tuna unafiki

Na sasa ni kama tumejitengenezea msingi unaotolulazimisha tuchague option moja kati ya mbili.

1. Kumpenda mchezaji na kutaka aendelee kubaki kwenye Club bila kujalisha ufinyu wa mchango wake uwanjani. Halafu ikitokea kwenye game huyo mchezaji amekuwa sehemu ya sisi kukosa ushindi tuendelee kulaumu kama ilivyo ada (which I call hypocrisy)

2. Au kupenda mafanikio ya timu katika mbio za kusaka mataji ambapo huchangiwa na kuwa na wachezaji wenye kujituma na njaa ya upambanaji.

Kwa bahati mbaya mashabiki wengi wa Simba inaonekana kabisa tupo interested sana na option ya kwanza.
 
Tena yamekuwa hayo!, Binadamu bana... Si mlisema simba inawachezaji wazee
 
Yaani tuogope kutema wachezaji mizigo kwa kuhofia Yanga watawasajili?

Wawachukue tu mbona walishamchukua Morrison, Mkude na sasa Okrah sisi kama Simba sio shida kwetu
 
Hizi Timu zina wapigaji sana na wanatumia mwanya wa kusajiri ili waibe wanamchukua mchezaji ambae hata ndani yupo mnaambiwa alimkaba CR 7 kiwango cha kawaida kabisa baadae atatolewa atakuja mwingine

Mtaambiwa alimfunga Buffon hapo mshasahau yule kocha aliepiga picha na Zidane mkaambiwa alikua kocha wa Madrid movie bado inaendelea ni kununua mahindi ya pop corn tu huku Yanga tuliwahi letewa beki la Chan sijui Doumbia akituliza mpira kama katuliza na ugoko Viongozi waliona aibu wakamalizana nae kimya kimya maana hakuna hata Timu iliyomuhitaji hata kwa Mkopo.

Hizo ndiyo siasa za Simba na Yanga ingawaje Yanga wamejitahidi kuchukua Asec vipaji vipo..
 
Simba wajiamini tu
Watoe mafaza wote
Wajenge team mpya na imara
Japo kuna misimu 3 watalia
Sisi Yanga tuliweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Azam iko mwaka wa saba toka ifanye huo uamuzi sasa na bado hakuna inachofanya.

Na ubaya wanaokuja sio bora kuliko waliokuweko.

Ayoub hamfikii manula mbali mno

Sarry hamfikii kanute alafu mzee.

Onana hawezi kufanya zaidi ya phiri.

Ata
 
Hivi si ni sisi mashabiki ambao tulikuwa tukilia kila siku kuhusu kukosa ushindi kupitia makosa au uzembe wa hao wachezaji???

Hivi si ni sisi mashabiki ambao tulikuwa tuna imani na kocha na tulitaka kuona kocha akiachiwa timu asiingiliwe majukumu yake na uongozi??

Ni sisi hao mashabiki ambao kocha alipojitokeza kutoa maoni baada ya mchezo kuwa timu haina mshambuliaji mahiri sisi tulimuunga mkono.

Bila shaka ni sisi wenyewe ambao tulikubali kuwa huyu ni kocha wa viwango vya juu na atatufikisha mbali, tukakubaliana kumpa ushirikiano.

Then why kwenye kufanya mabadiliko katika hizo sehemu ambazo tumekuwa tukilia kwa muda mrefu tuanze kulaumu tena?

Ni kama hatueleweki tunataka nini, na hicho ndio kitu ambacho kinatuonesha sisi tuna unafiki

Na sasa ni kama tumejitengenezea msingi unaotolulazimisha tuchague option moja kati ya mbili.

1. Kumpenda mchezaji na kutaka aendelee kubaki kwenye Club bila kujalisha ufinyu wa mchango wake uwanjani. Halafu ikitokea kwenye game huyo mchezaji amekuwa sehemu ya sisi kukosa ushindi tuendelee kulaumu kama ilivyo ada (which I call hypocrisy)

2. Au kupenda mafanikio ya timu katika mbio za kusaka mataji ambapo huchangiwa na kuwa na wachezaji wenye kujituma na njaa ya upambanaji.

Kwa bahati mbaya mashabiki wengi wa Simba inaonekana kabisa tupo interested sana na option ya kwanza.
Umeongea points za maana ila sidhani kama watakuelewa......japo mimi nashabikia upended wa pili kuimarika kwa simba ndio kupanda kwa mpira wa Yanga na Tanzania
 
Angalia nyuma ya pazia kaka. Je walifanya vibaya wakiwa na kocha sahihi. Walilipwa kwa wakati. Kama timu ilicheza robo wakiwa na madeni na whydad tulitegemea muujiza gani.

wangewahukumu wakiwa na stahili zooote mkononi.

Je wanakuja ni bora kuliko waliopo?
Je phiri ni mbaya kuliko onana. Au sarry kuliko kanute. Na nasubiri kumuona mbadala wa chama sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom