Kama Benchika ni kocha mzuri kampeni za nini? Acheni timu ijieleze na hana ubora wa kumpiga benchi Chama. Washabiki tumechoka kuvumilia

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.

Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.

Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi CAF mfululizo kwa mabao yake murua basi mfanye hayo.

Mkitaka mchezaji bora Simba waache janja janja. Janja janja tutaishia kuwapata makanjanja kama Onana na Okwa.

Mmewaacha Okra, Sacko, mnawatenga Phiri na Chama wakiwa wa moto kabisa mnataka muujiza gani.
 
Hili jamaa si ndo limefungua uzi eti chama akihama simba nalo linahama? kumbe ni utopolo, aaf sema kama unampenda kweli mwamba aalifiwe, ila uwe unampenda hasa toka moyoni jinga kwelikweli!t
 
Au basi ngoja nikuachie, nilitaka nikuulize mleta mada kwamba, kwa Kuwa unaonekana unawashwa washwa sana, unatoa tigo kwa sh ngapi usiku kucha??

Ni hilo tu
 
Simba hatuna hayo matusi mkuu,jitofautishe Naye...tumuelimishe huyo topolo
 
Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.

Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.

Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi CAF mfululizo kwa mabao yake murua basi mfanye hayo.

Mkitaka mchezaji bora Simba waache janja janja. Janja janja tutaishia kuwapata makanjanja kama Onana na Okwa.

Mmewaacha Okra, Sacko, mnawatenga Phiri na Chama wakiwa wa moto kabisa mnataka muujiza gani.
Wewe gongowazi unafaa kufanya kolabo na Saida Karoli itapendeza zaidi mpira waachie wanaoujua.
 
Back
Top Bottom