Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.

Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.

Naomba chama aende Azam au Yanga na ahame na sisi sio wakumpuuza tu
 
Wewe Utopolo, ya Simba hayakuhusu. Hakuna MwanaSimba anaweza kuwa na akili mbovu kama zako, Chama Hauzwi na hana Mpango na huko unakowaza.
 
Benchi na kauli za benchika zote zinaonesha viongozi hawamtaki sio chama tu bali Ata phiri.
Lakini mpira sio kubeba zege akizingua huyu unapata mbadala. Viongozi simba wanahitaji presha sana kufanya maamuzi kwa manufaa ya timu.
 
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.

Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.

Naomba chama aende Azam au Yanga na ahame na sisi sio wakumpuuza tu
Utopolo mna wazimu sana, mara muombe kwenda kundi la Simba CAF, sasa unapigia debe chama ahamie utopoloni. Mnawashwawashwa.
 
Mi mashabiki wanaosema wanahama sijui wanachoma jezi huwa siwaelewi...sasa ukichoma jezi ulonunua kwa hela yako hasara kwa nani? Na ukihama ww mmoja au 20 au 30 club itashtuka?
Hata wahame mashabiki 1M, bado hawana athari yoyote kwa Simba Sc. Ni sawa na kuhamisha maji ya bahari kwa kikombe cha kahawa.
 
Sometimes Chama anakera sana lakini namkubali hivyo hivyo.... Dunia nampenda Messi, Chama ni Messi wa bongo.
 
Wewe si shabiki mpenzi wa simba wewe ni mshabiki tuu
kawaulize liverpool england na miaka yao 30 bila kombe
waangalie manchester utd sasa sijui wamefikisha miaka mingapi
njoo kwa asernal usiwe shabiki upepo kuwa die fans
 
Mi mashabiki wanaosema wanahama sijui wanachoma jezi huwa siwaelewi...sasa ukichoma jezi ulonunua kwa hela yako hasara kwa nani? Na ukihama ww mmoja au 20 au 30 club itashtuka?
Huyo sasa ndiyo Simba halisi kwa Mapenzi na tabia hamumfikii, ndiyo mfano halisi wa wanasimba ni kama kipindi kile mlivyotaka kocha aingie kwenye mfumo wa Chama
 
Acha kutishia nyau. Hizo akili alikuwa nazo Manara kuwa bila yeye mpira wa Bongo utayumba akashangaa hamasa ndio inaongezeka karma kukimbilia kwa muuza papuchi Zaylissa
 
Back
Top Bottom