waamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Chama cha waamuzi wa England chakili kufanya kosa kuruhusu goli la Erling Haaland

    Chama cha Waamuzi cha England kimekiri kufanya kosa katika kuruhusu goli la ushindi la Manchester City dhidi ya Manchester United, ambapo Man City ilishinda 1-0 katika uwanja wa Old Trafford. Katika taarifa iliyotolewa masaa machache baada ya ushindi huo wa Man City ilifichua kuwa imewasiliana...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa Tanzania wateuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika

    Waamuzi wa Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani na Ahmed Arajiga wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) JS Saoura (Algeria) vs Horoya AC ( Guinea) utakaochezwa uwanja wa Miloud Hadefi Septemba 4, 2026
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Misri yawasilisha malalamiko rasmi FIFA kupinga uamuzi wa waamuzi dhidi ya Argentina

    Shirikisho la Soka la Misri limewasilisha rasmi malalamiko likitaka kufanyika kwa uchunguzi kuhusu maamuzi ya waamuzi katika mchezo wao wa Kombe la Dunia dhidi ya Argentina uliomalizika kwa kipigo kwa Misri. Rais wa Shirikisho hilo, Hany Abo Rida, ameamua kupinga uamuzi wa mwamuzi wa Ufaransa...
  5. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kulikua na makosa ya kibinadamu kwa waamuzi LAKINI SIO SABABU YA KUKOSA UBINGWA

    Nimemsikiliza jana Crecentius Magori (Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba) alihojiwa na Azam baada ya mechi yao na Azam FC kuisha anasema kusingekua na makosa ya kibinadamu hata ligi ya NBC wangebeba. kwenye ligi ya NBC na kombe la shirikisho CRDB Tanzania bara kumekua na malalamiko kadha...
  6. H r n

    JamiiForums Tanzania “Siri nzito: Nani anawalipa waamuzi wa Morocco? Ukweli unaotikisa!”

    1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ? 2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo ! 3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi mnafungia waamuzi kila siku hamjiulizi shida iko wapi i jitathmini hii n aibu kwa soka letuu

    Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan Means kuna rushwa inaendelea soka letu Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria Mna shida kubwa sana snaaaa...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waamuzi mechi za JKT vs Azam na Mbeya City vs Yanga wafungiwa. Bacca wa Yanga afungiwa michezo mitano

    Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC. Ibrahim...
  10. Halidi Mtumbuka

    JamiiForums Tanzania Shida ya waamuzi haikupaswa kujadiliwa leo!

    Ni wakubwa kiumri, wachanga kiuongozi. TFF ilianzisha mwaka 1945 na kujiunga Uanachama wa FIFA mwaka 1964. Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kilianzishwa mwaka 1991. Mipango mingi inayopangwa na TFF kwasasa ilipaswa kupangwa miaka mingi nyuma. Changamoto nyingi zinazojitokeza kwenye mpira wa...
  11. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi waamuzi wetu wameangalia CHAN kweli au tutegemee "makosa ya kibinadamu"kama kawaida!?

    Offside kwa mbaaaaali......si tunanufaika na marudio ya picha ...... of course ila ni very tight .......kosa ni la line one.....n.k ni kauli ambazo hutawala vinywa vya wachambuzi pale wanapochambua ligi ya Tanzania bara ,kauli kama hizo kwenye mashindano ya chan hatukuziona kabisa au zilikuwa...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka waamuzi wa Misri walioamua mechi ya derby

    Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili. Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi. Filimbi nyingi zinazalisha timu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa Leo hata Uchaguzi tukileta Wamisri CDM hampati hata kiti kimoja

    Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo. Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja hawana kulia Lia,hawataki kudeka piga kazi kama mama anavopiga kazi,kigongo busisi,bwawa la Mwl...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waamuzi kutoka Misri kuchezeshwa derby ni sawa lakini sio 100%

    Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry. Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

    Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri. Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed. Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nasoro hamdun..ADHABU za WAAMUZI hatutangaza(wiki iliyopita)..Leo anahojiwa mbona mmemtangaza SASI tumesikia makelele ya wananchi aisee SOKA la Bongoo

    HUYU N Mwenyekiti WA kamati ya WAAMUZI Nasoro hamduni wiki iliyopita kahojiwa mbona watu wanalalamika sana kwa WAAMUZI mbona hamuwaadhibu Akajibu hawana mazoea ya kutangaza ADHABU za WAAMUZI wanawaadhibu kimya kimya Leo kahojiwa huyoohuyoo hahaa anasemaa tumesikia kelele za wananchi zimekuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Karia aipongeza Kamati mpya ya Waamuzi Mpira wa Miguu, ahimiza Weledi

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) inayoongozwa na Emmanuel Chaula, iliyochaguliwa leo Mei 30,2025 katika ukumbi wa Maktaba jijini Tanga.
  18. John Sin

    JamiiForums Tanzania Utatiti: Waamuzi wengi karibia asilimia 75 ni form four failure na division four ya mwisho hivo maamuz yao yanaakisi upeo mdogo wa kuchakata taarifa

    Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi. Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Meneja Simba Queens afungiwa miezi sita na faini kwa kuwashambulia waamuzi

    Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichopita taarifa za mechi za Ligi Kuu ya Wanawake imemfungia Meneja wa Simba Queens, Selemani Makanya kwa miezi 6 na kumpiga faini ya TSh 1.5 Milioni kwa kosa la kuwashambulia Waamuzi baada...
Back
Top Bottom