Okra Magic ameondoka Simba akiwa wa Moto mno. Sema alipigwa Zengwe la Ulevi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini Yanga wasimchukue.

Okra akiwa Simba Aliifunga yanga. Akafunga de Agost magoli muhimu kabisa. Kafunga sana tatizo ubinafsi.
Baada ya Okra natamani kumuona Banda na Phiri na Chama Yanga au Azam.

Sasa wanawapiga zengwe viwango vishuke halafu waseme wamechoka wawateme.

Simba wakiendelea na ujinga wao mwakani hata club bingwa Africa hawatacheza.
 
Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?

Failure au success?

Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.

Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.

Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.

Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi

Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.

Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini

Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.

Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
 
Okrah alishawahi kumpiga refa hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.

Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini

Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.

Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Umechambua kiufundi Sana Mkuu. Big up kwako.
Okrah ni mchezaji mzuri mwenye tabia mbaya. Ni kama Barton wa Newcastle au yule Bàloteli wa Man city.
Hata mm najiuliza kama Yanga wamepima maji na mafuta kulinganisha kiwango na mwenendo nje ya uwanja.
 
Ghana hakuna pombe?
Mbona alienda kafanya vizuri tu
Hapo ukoloni mafigisu mengi hata Okwa alisema
Mkude amekaa Simba miaka 13 mnamwacha eti ana tabia ya ulevi
Hivi utakaa na mchezaji muda wote huo akiwa na tabia mbaya
Mbona Simba alimsajili Ntibazokiza pamoja na tuhuma za utoro kambini alipokuwa Yanga
Okwi alikuwa akienda Kampala anakaa miezi 3 bado anarudi kucheza Simba
Okrah ni mchezaji yeye anajali kazi yake sio shabiki ww mwache afanye kazi sehemu nyingine
 
Umejibu vizuri, labda pombe za Ghana hazileweshi kama za Dar, na huyo Mkude wamemtumia weee, badala waachane nae kwa amani bado wanampakazia mabaya kwa mwajiri wake mpya. Hawa Makolo bwana.
 
Nje ya uwanja inaweza kuwa hivyo. Ila ndani ya uwanja sikuona kabisa mapungufu yake.

Wakati mwingine kumudu wachezaji kunaitaji management nzuri. Vip nabi Aliamua kumchukua morson kutoka simba Akiwa mkorofi. Na leo kaenda nae MOROCO.

Unaweza ukatumia ubora wake tu na udhaifu wake ukamwachia. Kama una wanasaikolojia wazuri matatizo mengi ya kitabia hutibika.
 
Umechambua kiufundi Sana Mkuu. Big up kwako.
Okrah ni mchezaji mzuri mwenye tabia mbaya. Ni kama Barton wa Newcastle au yule Bàloteli wa Man city.
Hata mm najiuliza kama Yanga wamepima maji na mafuta kulinganisha kiwango na mwenendo nje ya uwanja.
Una uthibotisho wa tabia zake kaka. Au umekumbwa na Fitna za viongozi wanaotaka kulamba tu ela za usajili kila dirisha likifunguliwa.
Je nini sababu za phiri kuchezea benchi mpaka washabiki kumshinikiza Robertinyo kumpanga na kuanza kutupia.
Naamini wachezaji wanatolewa mchezoni kwa manufaa ya wachache
 
Ghana hakuna pombe?
Mbona alienda kafanya vizuri tu
Hapo ukoloni mafigisu mengi hata Okwa alisema
Mkude amekaa Simba miaka 13 mnamwacha eti ana tabia ya ulevi
Hivi utakaa na mchezaji muda wote huo akiwa na tabia mbaya
Mbona Simba alimsajili Ntibazokiza pamoja na tuhuma za utoro kambini alipokuwa Yanga
Okwi alikuwa akienda Kampala anakaa miezi 3 bado anarudi kucheza Simba
Okrah ni mchezaji yeye anajali kazi yake sio shabiki ww mwache afanye kazi sehemu nyingine
Kwani refa amlimpigia akiwa nchi gani?

Kujali maslahi yake kunabidi kwende sambamba na matakwa ya muajiri wako.

Na kama umenisoma vizuri bila bias kichwani hakuna sehemu nimebeza uwezo wake.

Swala la Mkude lipo wazi yule alikuwa ni mlevi na maadili yalikuwa mabovu.

Haijalishi amekaa miaka mingapi Simba bado sio guarantee ya kusema hawezi kufanya utovu wa nidhamu.

Mbona wana ndoa wanafumaniana wakiwa wana cheat na ukiangalia wameishi miaka zaidi ya 20. Kwa hiyo tuseme kwasababu kwa miaka hiyo 20 hukuwahi kumsikia mkeo ame cheat basi hiyo itaondoa maana kuwa leo haja cheat?

Simba walivyokosea kwa Okwi kwa kuto muajibisha kwa tabia yake haina maana wafanye hivyo hivyo kwa wachezaji wengine eti kwasababu kuna mtu mwingine hakuwajibishwa.

Serikali kutomuajibisha waziri fisadi aliyeiba mabilioni ya pesa na kisha kujiuzulu na kuendelea kubaki huru, haikupi guarantee ya wewe kuiba kuku na kutaka usifungwe eti kwakua kuna mtu aliiba fedha nyingi kuliko thamani ya kuku na bado yupo uraiani.
 
Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?

Failure au success?

Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.

Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.

Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.

Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi

Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.

Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini

Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.

Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Tabia mbovu za mchezaji zitapimwa na mwajiri wake wa Sasa na sio wewe shabiki oya oya, ndio maana yanga ilimtema ntibanzokiza kwa nidhamu mbovu lakini kaja kwenu na alikuwa anaperfom vizuri kwanini amkumuacha kutokana na kuambiwa kuwa alikuwa mtovu wa nidhamu pale yanga?? Kwa maana iyo ni yanga wenyewe watakaothibitisha utovu wa nidhamu wa Okrah na sio kelele za mtu yeyote yule!
 
Umejibu vizuri, labda pombe za Ghana hazileweshi kama za Dar, na huyo Mkude wamemtumia weee, badala waachane nae kwa amani bado wanampakazia mabaya kwa mwajiri wake mpya. Hawa Makolo bwana.
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?

Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?

Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?

Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?

Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?

Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
 
Kukosa nafasi ya kucheza sio eti kwa sababu ya utovu wa nidhamu
Coach hajapata nafasi ya kumpanga anajituma mazoezini nafasi ikipatikana atacheza
Kwani Gift Fred hachezi kisa ni mlevi
Ngushi mlevi
Wanasubiri benchi mastaaa kama Lewandoski
 
Tabia mbovu za mchezaji zitapimwa na mwajiri wake wa Sasa na sio wewe shabiki oya oya, ndio maana yanga ilimtema ntibanzokiza kwa nidhamu mbovu lakini kaja kwenu na alikuwa anaperfom vizuri kwanini amkumuacha kutokana na kuambiwa kuwa alikuwa mtovu wa nidhamu pale yanga?? Kwa maana iyo ni yanga wenyewe watakaothibitisha utovu wa nidhamu wa Okrah na sio kelele za mtu yeyote yule!
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.

Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)

Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.

Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.

Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.

Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
 
Kukosa nafasi ya kucheza sio eti kwa sababu ya utovu wa nidhamu
Coach hajapata nafasi ya kumpanga anajituma mazoezini nafasi ikipatikana atacheza
Kwani Gift Fred hachezi kisa ni mlevi
Ngushi mlevi
Wanasubiri benchi mastaaa kama Lewandoski
Kwani aliletwa na nani?

Ina maana hakuwa chaguo la kocha?
 
Kila mahali kunakua na siasa zake.

Kwenye michezo, dini, siasa, biashara n.k n.k.

Binadamu wana mambo mengi mno mahali popote penye kipato, hapajawahi kuwa na amani. Haijawahi tokea.
 
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?

Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?

Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?

Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?

Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?

Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?

Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?

Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?

Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?

Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?

Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Tatizo nyie Simba Wanga sana, hapa tunazungumzia hizo kashfa mnazowatupia wakiondoka Simba. Na hapo tatizo wakija Yanga. Yanga hachezi kakutana na Maprofesa wa Mpira tofauti na alikotoka.
 
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.

Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)

Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.

Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.

Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.

Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.

Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)

Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.

Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.

Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.

Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
Kama alikiri basi akuna Cha kujadili hapo ni kwamba aliachwa kwa utovu wa nidhamu ata Kama na mayele alikuwepo pengine mwenzake alifata utaratibu wa kuondoka kambini kwani viongozi ni wajinga awakuchunguza!
 
Alikiri kuondoka kambini ila hakukubaliana na sababu iliyotolewa na Club

Kipindi cha mechi ya Derby ilikuwa ni mwezi wa ramadhani naweza kusema Saido ndio mchezaji aliyekuwa ameshika dini kuliko wengine pale Yanga.

Swala la Derby kwenye kambi lilikuwa na maandalizi mengi ya nje ya uwanja ambapo katika miiko ya dini yake aliona ni dhambi hususani kwenye Season ya mfungo.

Aliondoka kwasababu hizo.

Na ndio maana hakukutwa Club kama walivyokutwa kina Mayele, Ambundo na wengineo.
 
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?

Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?

Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?

Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?

Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?

Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Hoja yako imeegemea kwenye hadithi za kusadikika, Hoja ya kusema mkude achezi sababu ya ulevi ni hoja dhaifu isipokuwa na mashiko, wachezaji wangapi awachezi pale yanga na wenyewe ni walevi?
 
Back
Top Bottom