alphard

Alphard , designated Alpha Hydrae (α Hydrae, abbreviated Alpha Hya, α Hya), is the brightest star in the constellation of Hydra. It is a single giant star, cooler than the sun but larger and more luminous. It is about 177 light years away.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    Habar wakuu nampango wakununua gari kwa ajili ya familia maana Nina familia ya watu 8 na huwa tunasafiri mara kwa mara mwendo km150,Sasa nahitaji gari comfortable yaenye nanafasi ninunue ipi kati ya hizo
  2. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Wakuu. Naomba uzoefu wenu kuhusu uimara na udhaifu wa magari hayo Katika Namna ya ulinganishi. Natanguliza shukrani za dhati
  3. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA ALPHARD YA MOTO IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 23.8M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2005 Engine: 2,360Cc Mileage: 84,000+ Transmission: AUTOMATIC ✨Winkers ✨Sport Rims ✨Fog Lamps ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  4. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard bampa dogo ya kufugwa iko sokoni

    Bei/Price=TSH 20.5M Call+255 (0) 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2006 Engine: 2,368Cc Mileage: 69,682KM Transmission: AUTO 💫Fog Lights 💫Rear Spoiler 💫Alloy Wheels ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Available
  5. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard new model ya moto iko sokoni

    Bei/Price =TSH 32.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2010 Engine: 2.4L Mileage: 54K Transmission: AUTO Winkers Fog Lights Recliner Seats 100% Duty Paid Swap Deals Available Zero Registration Cost
  6. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard yenye siti za kubetua iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 29.5M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2009 Engine: 2,360Cc Mileage: 56,000+ Transmission: AUTO ✨Fog Lights ✨Rear Spoiler ✨Recline Seats ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  7. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard ya kufugwa iko sokoni

    Bei/Price TSH 22M Call +255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2007 Engine: 2,368Cc Mileage: 114,000+ Transmission: AUTO Winkers Fog Lights Rear Spoiler Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  8. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard yenye sunroof iko sokoni

    🛒BLACK FRIDAY SALE Bei/Price TSH 24.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2005 Engine: 2,360Cc Mileage: 71,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Rear Spoiler 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  9. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard yenye sunroof inauzwa

    Bei/Price TSH 20.8M Call +255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2003 Engine: 2360Cc Mileage: 80,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Twin Sunroof Fender Mirror Clean Interior In Mint Condition Exchange Possible
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Alphard ilotoka bandarini inauzwa milioni 22

    Piga 0713 039 875 (Tuko Kibaha maili moja)
  11. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard for Sale TSH 20M

    Bei/Price TSH 20M Call +255 747 999 927 TOYOTA ALPHARD Year: 2003 Engine: 2360Cc Mileage: 54,900+ Transmission: AUTO Rear Spoiler Alloy Wheels 2-SRS Airbags Clean Interior In Mint Condition Exchange Possible
  12. Akhi

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard mpya inauzwa

    Habari zenu ndugu zangu Kwa mtu ambae anahitaji Alphard (new model) ipo inauzwa unguja ata ukitaka kusafirisha Dar msaada utapata Bei ni 22M Karibuni
  13. Jerry magere

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota Alphard 2007/ chassis

    Price: 24,800,000 + Registration. Low Mileage: 63,000km Cc: 2360
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Billnass amzawadia mtoto wake Naya, gari aina ya Alphard, aahidi kumpa gari la kifahari 'Escalade'

    Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat, Billnass alionesha zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kufikia kuhitimu...
  15. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard namba E inauzwa bei ya kutupa kabisa

    Bei/Price TSH 21.8M Call 0747 999 927 TOYOTA ALPHARD(ECP) Year: 2007 Engine: 2360Cc Mileage: 84,000+ Transmission: AUTO Automatic Doors In Good Condition Exchange Possible
  16. T

    JamiiForums Tanzania Exchange deal ya kiwanja na toyota alphard no E

    Habari wapendwa! Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara. YEYE: Kiwanja 30 kwa 30 Kipo kibaha mail moja Kina beacons tayari, kina pagale zuri hatua ya rinta, umeme na maji...
  17. 3-Star General

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Popular cars Arusha ni Land Cruiser, Rav4 na Alphard

    Juzi nilikuwa na kazi moja kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha siku nzima. Sasa, kutokana na msongamano unaotokana na ongezeko kubwa la magari ilibidi nijipe dual-work na kufanya simple observational cross sectional study (Utafiti mdogo wa kutazama katika wakati mahususi). Lengo...
  18. Afrolink-Tz Consult Ltd

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Jinsi Toyota Alphard Hybrid inavyofanya kazi na Ubora wake

    1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
Back
Top Bottom