SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.
Akizungumza leo...
SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto.
Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa.
Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu...
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,
Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,
Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,
Mpinzani wa kwanza strong wa...
Five African countries for investors to watch in 2022
Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI.
tment Monitor‘s Africa investor guides, covering the north, east, west, centre and southof the...
Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imechapisha na kulitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka,
CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja...
==
Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania.
Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania iwe huru hatujawahi kuwa na shule za Serikali za Msingi na Sekondari zenye hadhi na mwonekano kama...
Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta,
Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
Kama Taifa hebu tutafakari haya:
1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB,
2. Ni lini...
Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa,
Katika taarifa yake kwa Watanzani Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema...
Financial Times gazeti maarufu duniani linalosomwa na watu milioni 26 kwa mwezi kwa mara ya kwanza nimeona likianza kuisemea vizuri Tanzania baada ya kutuchafua sana miaka mitano iliyopita hasa kuhusu hali yetu ya Uchumi,
Kwahatua hii Tanzania tumepiga bao sana hasa kwenye sekta ya Utalii...
The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country,
The World biggest Newspaper " Finicial Times " has started aggrandizing our tourism sector all over the world and...
|Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa nchi.
Pili ,Uhuru & Usalama, anasema kuingia kwa Rais Samia ambaye ni mwanamke, hewa ya uhuru na...
===
Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili...
Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania
===
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi...
Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26?
"Hakuna kama Samia "
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197 wa baraza la 26 la Uhifadhi wa Mazingira duniani yaani COP26 lililoketi kwa kipindi cha Siku 12...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka.
" Hakuna kama Samia "
Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
Kwamiezi michache tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika wapya 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi wapya 32,583,God's Good
===
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.