mohamed mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Hakuna taifa Afrika lenye makubaliano mazuri baina ya serikali ya Afrika na Marekani kama makubaliano haya tuliyosaini

    Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini ya hati ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kwenye Sekta ya Afya iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa hakuna taifa Afrika lina makubaliano yenye tija kama Tanzania na Marekani Soma Pia...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mchengerwa kutumia Mkoba wa Louis Vuitton wakati anawasilisha bajeti? Wataalamu huu mkoba shilingi ngapi?

    Wakuu, Hebu naomba tushirikishane. Mchengerwa alishindwa nini kwenda kununua mkoba wa 200k akaenda kununua mkoba Loui Vutton? Huu mkoba kama kweli ni wa Loui Vutton maana yake ni Milioni 10 au Milioni 20. Hiyo gharama inatosha kabisa kwenda kukarabati shule mabati kwenye shule Mapambano...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nimepokea ujumbe "Hospitali ya Mloganzila ina majengo na vifaa vya kisasa ila ina sifa mbaya ya vifo vingi"

    Hayo amesema Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa wakati akizindua kampeni ya Jua Namba Yako, Mei 4, 2026, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokou - Toure, Jijini Mwanza. Pia soma: ~ Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila? ~ Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi...
  4. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa mtu kazi, mtu wa matokeo hujawahi kushindwa jambo tuondolee hili hospital za kitaifa

    Ushauri kwa waziri wa afya ,wakati waziri wa ujenzi anapambana kuondoa foleni kwenye majiji na miji basi waziri wa afya atuondolee foleni hospital za kitaifa MUHIMBILI na Benjamin Mkapa hospital. Serikali imekua na mipango mbalimbali kuhakikisha inainua uchumi kwa kuondoa foleni kwenye miji...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa amwagiza daktari Temeke kufunga Duka la Dawa pembezoni mwa Hospitali

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amesema hatavumilia tabia ya baadhi ya madaktari wa hospitali za Serikali kuwaelekeza wagonjwa kununua dawa kwenye maduka binafsi. Amesema akimtaja daktari mmoja wa Hospitali ya Temeke anayemiliki duka la dawa jirani na hospitali hiyo na kumuagiza alifunge...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Bima ya Afya kwa Wote kuanza na kaya zisizo na uwezo

    Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) ametangaza rasmi kuanza kutumika kwa Kitita cha Huduma Muhimu cha Bima ya Afya kwa Wote kwa awamu ya kwanza. Amesema kuwa kitita hicho kitaanza kutumika Januari 26, 2026 kwa kundi litakalogharamiwa na Serikali. Haya ameyasema leo wakati akizungumza...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Hali ya Jenista Mhagama ilikuwa mbaya, madaktari walifanya kazi kubwa

    Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, hali yake ilikuwa mbaya sana alipowasili hospitalini hapo na baadaye alifariki dunia. Akizungumza...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Hakuna mgonjwa atakayekosa matibabu kwa kukosa fedha

    Serikali imesema hakuna mwananchi yeyote atakayeenda kwenye Kituo chochote cha kutolea huduma za afya au Hospitali, akakosa kupatiwa matibabu eti kwa sababu hana fedha. Akizungumza kwenye kikao kazi cha watumishi wa sekta ya afya Mkoa wa Dar es Salaam leo, Jumatatu Desemba 08.2025, Waziri wa...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa atoa siku 21 uwekezaji viwanda vya dawa

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ndani ya siku 21.
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchengerwa: Mimi ni mtu wa kazi si majungu, fanyeni kazi kwa weledi na uadilifu

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na ufanisi kwa wananchi. Hii ni mara baada ya kuapisha jana Novemba 18, 2025 Mchengerwa ametoa wito huo alipokutana na...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa aibuka kidedea kura za maoni CCM jimbo la Rufiji

    Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge aliemaliza muda wake ameibuka kidedea kulitetea jimbo hilo kwa mara nyingine tena
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: Tutamuomba Rais Rufiji iwe Mkoa

    Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa achukua fomu ya ubunge jimbo la Rufiji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Juni 30, 2025 amejitokeza kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchaguliwa kuwa mgombea ubunge la Rufiji katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu. Mhe. Mchengerwa amefika kwenye ofisi ya...
  15. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiongozi akifanya vyema apewe maua yake, tuache siasa za chuki bila sababu

    Viongozi wengi wa kuchaguliwa haswa wabunge na madiwani wamekuwa ni wepesi wa kuahidi vitu visivyotekelezeka, huku ikiacha maswali mengi nini kinasababisha hawa ndugu kushindwa kuwaletea wananchi mambo mazuri. Lakini hebu kwenye Uzi huu nimzungumzie Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi. Aidha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aida Kenan amchana Mchengerwa, adai Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yalifanyika mambo ya ovyo na umeacha maumivu kwa Wananchi

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani alisimama Bungeni na kumchana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa akidai kuwa katika Uchaguzi wa Serika Kali za Mitaa yalifanyika mambo ya hovyo kuanzia mchakato wa kuwaengua Wagombea na yote yaliyotokea bado yameacha maumivu kwa Wananchi. "Mheshimiwa...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira au vyeo igeni Mohamed Mchengerwa kwa kuoa watoto wa vigogo

    Bila kuwa mkewe wa mama, nani angemjua Mohamed Mchengerwa? Angeupata wapi uwaziri? Angetoa wapi jeuri ya kuwafokea akina Albert Chalamila wakaufyata kama watoto wadogo pamoja na kusifika kwao kwa kupayuka? Ukwe wa wanene unalipa wanangu. Kwa wale mabarubaru ambao hawana kazi, oeni watoto wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi). Video: Habari Digital
  20. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mawaziri Simbachawene, Mchengerwa, ichunguzeni Halmashauri ya Ngorongoro Idara ya Afya, kuna matatizo mengi kwa watumishi

    1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano DRCHco wa halmashauri hiyo ana DIPLOMA, ili hali wapo NURSES wana Bachelor Degree na masters lakini...
Back
Top Bottom