Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

Jesusie

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,366
719
IMG-20220802-WA0001.jpg

SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo kwani Rais Samia Suluhu Hassan, amewekeza nguvu kubwa kuliinua kundi hilo kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zilizopo nchini.
IMG-20220802-WA0116.jpg

Amesema CCM kinaamini vijana wakiwezeshwa kiuchumi wanauwezo wa kuchangia maendeleo ya taifa kwa kiwango kikubwa zaidi na ilivyokuwa sasa.
IMG-20220802-WA0113.jpg

Shaka ameyasema hayo jijini Dodoma leo wakati akizindua ujenzi wa nyumba ya mshindi wa kwanza atakayepatikana katika mashindano ya mbio za waendesha bodaboda kitaifa, yanayotarajiwa kuhitimishwa Agosti 30 mwaka huu yakiwa na lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia katika kutangaza fursa za utalii nchini kupitia filamu ya Royal Tour.
IMG-20220802-WA0118.jpg

Amesema filamu ya Royal Tour ni kibiriti kilichowashwa na Rais Samia katika nyasi kavu kuibua fikra na mawazo hususan kwa vijana jinsi ya kuimarisha utalii, uchumi na historia ya nchi yetu.

“Vijana tusiingalie Royal Tour katika utalii tu hapana Rais ametufungulia uwanja wa kuchemsha fikra zetu kuhusu nchi yetu” amesema Shaka na kuongeza
IMG-20220802-WA0111.jpg

“Tanzania tunaye muongoza njia, mfungua fursa ambaye ni Rais Samia mwenye kutekeleza dhana na maono ya kuwakomboa vijana kiuchumi kupitia fursa na rasilimali zilizopo nchini, Rais Samia amefanya uwekezaji mkubwa katika kuwainua vijana”

Amesisitiza kuwa: “Jitihada hizi zinapaswa kuendelea kuungwa mkono kwa viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo. Hii itasaidia kutekeleza kwa vitendo ahadi ya CCM ya kutoa ajira milioni nane kwa sekta rasmi na zisizokuwa rasmi.”

Katibu huyo wa NEC, Itikadi na Uenezi ameeleza kuwa CCM kinaamini kwamba endapo vijana wakiwezeshwa zaidi kiuchumi, watachangia maendeleo ya taifa kwa hatua kubwa zaidi na ilivyokuwa sasa.
IMG-20220802-WA0109.jpg

Alisema mbio hizo za waendesha bodaboda ni fursa ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo pamoja na waendesha vyombo hivyo vya moto kuwa mabalozi wazuri wa utalii.

Shaka ametumia fursa hiyo kuwahamasisha wandesha bodaboda na bajaji kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu pamoja na kuendelea kupata chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya Uviko-19.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Global Peace Advocacy for Conflict Resolution, Ryamoja Mfuru, amesema taasisi hiyo imeandaa mashindano hayo kuwawezesha waendesha bodaboda kubeba ujumbe wa kuhamasisha utalii nchini.

Ameeleza kuwa mbio hizo ngazi ya wilaya zitaanza Agosti 13 mwaka huu kisha Agosti 17 zitaendelea kwa ngazi ya mkoa na kuhitimisha kitaifa Agosti 30 mwaka huu ambapo mshindi atakabidhiwa nyumba iliyopo jijini Dodoma.

IMG-20220802-WA0091.jpg

Naye, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Pili Mbaga, amesema CCM kimekuwa na ushirikiano mzuri na Umoja wa Waendesha Pikipiki Mkoa wa Dodoma (UWAPIDO) ambapo imetoa ofisi kwa ajili ya uendeshaji shughuli za chama hicho.
IMG-20220802-WA0110.jpg

Mwakilishi kutoka kampuni ya State Aviation, Amour Abdallah, amesema kampuni hiyo itatoa helkopta kuhamasisha tukio hilo kwani uwezeshaji vijana hususan madereva bodaboda ni msaada muhimu katika kuchangia maendeleo ya taifa.
 
Aina ya uongozi na viongozi wa nchi yetu huwa naona wanafanana sana wasanii wa
bongo movie, ni watu ambao wako nyuma na muda ila wanajiona wamefanya kazi kubwa kweli yani ambacho tulitakiwa tufanye miaka kumi nyuma wao huko wao wakifanya leo wao wanajipongeza kabisa, hawana mawazo mapya wote wanafikiria mule mule ndani ya box tu.
 
SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo kwani Rais Samia Suluhu Hassan, amewekeza nguvu kubwa kuliinua kundi hilo kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zilizopo nchini.
View attachment 2312456
Amesema CCM kinaamini vijana wakiwezeshwa kiuchumi wanauwezo wa kuchangia maendeleo ya taifa kwa kiwango kikubwa zaidi na ilivyokuwa sasa.
View attachment 2312457
Shaka ameyasema hayo jijini Dodoma leo wakati akizindua ujenzi wa nyumba ya mshindi wa kwanza atakayepatikana katika mashindano ya mbio za waendesha bodaboda kitaifa, yanayotarajiwa kuhitimishwa Agosti 30 mwaka huu yakiwa na lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia katika kutangaza fursa za utalii nchini kupitia filamu ya Royal Tour.
View attachment 2312459
Amesema filamu ya Royal Tour ni kibiriti kilichowashwa na Rais Samia katika nyasi kavu kuibua fikra na mawazo hususan kwa vijana jinsi ya kuimarisha utalii, uchumi na historia ya nchi yetu.

“Vijana tusiingalie Royal Tour katika utalii tu hapana Rais ametufungulia uwanja wa kuchemsha fikra zetu kuhusu nchi yetu” amesema Shaka na kuongeza
View attachment 2312460
“Tanzania tunaye muongoza njia, mfungua fursa ambaye ni Rais Samia mwenye kutekeleza dhana na maono ya kuwakomboa vijana kiuchumi kupitia fursa na rasilimali zilizopo nchini, Rais Samia amefanya uwekezaji mkubwa katika kuwainua vijana”

Amesisitiza kuwa: “Jitihada hizi zinapaswa kuendelea kuungwa mkono kwa viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo. Hii itasaidia kutekeleza kwa vitendo ahadi ya CCM ya kutoa ajira milioni nane kwa sekta rasmi na zisizokuwa rasmi.”

Katibu huyo wa NEC, Itikadi na Uenezi ameeleza kuwa CCM kinaamini kwamba endapo vijana wakiwezeshwa zaidi kiuchumi, watachangia maendeleo ya taifa kwa hatua kubwa zaidi na ilivyokuwa sasa.
View attachment 2312461
Alisema mbio hizo za waendesha bodaboda ni fursa ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo pamoja na waendesha vyombo hivyo vya moto kuwa mabalozi wazuri wa utalii.

Shaka ametumia fursa hiyo kuwahamasisha wandesha bodaboda na bajaji kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu pamoja na kuendelea kupata chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya Uviko-19.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Global Peace Advocacy for Conflict Resolution, Ryamoja Mfuru, amesema taasisi hiyo imeandaa mashindano hayo kuwawezesha waendesha bodaboda kubeba ujumbe wa kuhamasisha utalii nchini.

Ameeleza kuwa mbio hizo ngazi ya wilaya zitaanza Agosti 13 mwaka huu kisha Agosti 17 zitaendelea kwa ngazi ya mkoa na kuhitimisha kitaifa Agosti 30 mwaka huu ambapo mshindi atakabidhiwa nyumba iliyopo jijini Dodoma.

View attachment 2312383
Naye, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Pili Mbaga, amesema CCM kimekuwa na ushirikiano mzuri na Umoja wa Waendesha Pikipiki Mkoa wa Dodoma (UWAPIDO) ambapo imetoa ofisi kwa ajili ya uendeshaji shughuli za chama hicho.
View attachment 2312462
Mwakilishi kutoka kampuni ya State Aviation, Amour Abdallah, amesema kampuni hiyo itatoa helkopta kuhamasisha tukio hilo kwani uwezeshaji vijana hususan madereva bodaboda ni msaada muhimu katika kuchangia maendeleo ya taifa.
Mjadala huu ni wa muhimu sana kama tunaumizwa na tatizo la ajira kwa vijana wetu
 
Shaka ni jabari la siasa kwa sasa, Yale majamaa ya Ufipa yanahangaika na katiba CCM inatafuta wanachama wapya,

Kesho wakishindwa uchaguzi utasikia "Tumeibiwa kura "😂😂😂
 
Anatakia afanye ku address shida za wananchi hasa kipindi hiki cha bei ya mafuta kupanda. Hayo ma tour yenu vipi
 
Hivi cheo cha Shaka ni hiki hiki cha Msemaji na Uenezi wa Chama au kimebadilishwa ..... maana naona kama vile anavuka mipaka au watangulizi wake hawakuijua kazi yao vizuri.,.....!!?
 
Combination ya Shaka na Kinana ni mwiba mkali sana kwa Upinzani
 
Shaka ni jabari la siasa kwa sasa, Yale majamaa ya Ufipa yanahangaika na katiba CCM inatafuta wanachama wapya,

Kesho wakishindwa uchaguzi utasikia "Tumeibiwa kura "😂😂😂
Hao bodaboda waulize kuhusu bei ya mafuta leo,uone unafiki wa Watanzania,huyu mama na chama kwa ujumla,watazidi kutukanwa sana hasa wakijakutoka madarakani.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom