kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ile dhana kuwa CHADEMA ni chama cha waChaga na watu wa Kaskazini imetoweka. Kimekubalika kama kama chama cha Watanganyika

    Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ni kama Kanda ya kaskazini Kuna ma tom Boy wengi sana.

    Nimejaribu kufanya kautafiti kangu hivi , ni kwamba kaskazini Hususani Arusha na Kilimanjaro ni kama ma tom Boy ni wengi. Sababu inaweza kuwa nini kwa hii Hali?
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Nyuklia wa Korea Kaskazini: Kinga ya Kim Jong Un

    MFUMO MPYA UNAOLINDA KOREA KASKAZINI DHIDI YA MAADUI ZAKE. Ulimwengu unajua vyema kuwa katika mikakati ya kijeshi, zipo mbinu maarufu kama "mpango maalum wa kushambulia na kumwondoa kiongozi mkuu wa nchi kwa makombora ya usahihi wa hali ya juu kabla hajapata nafasi ya kutoa amri ya vita. Katika...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini na Israel Vita ya Iran na Marekani

    https://youtu.be/wu3ckYK_5Lo?si=A_gsYUQXj2EmpFdT
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado alivyopokelewa Tunduru

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado amepokelewa kwa kishindo na shangwe kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika viwanja vya Baraza la Idd Tunduru Mjini, tarehe 23 Agosti 2026 kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Mkutano wa Bunge la Bajeti na kukusanya maoni kuelekea Mkutano wa Bunge ujao...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Kaskazini hakuna boya

    Everybody knows north hakuna boya kwenye angle yoyote ile. Vijana wa kaskazini wako mbele ya muda sana. Siku tz ikipitia kwa kijana yoyote mwenye DNA ya north mabadiliko yataanzia hapo. #Nyerere hakuwa sahihi kusema vijana wa North wasipewe uongozi wa juu taifa la Tanzania
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini imezindua simu ya kwa jina : 🇰🇵 DPRK Smartphone name Chongsong mean green pine

    Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi. Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu anusurika baada ya shambulio la drone ya magaidi wa Hezbollah wakati wa ziara yake kaskazini ‘ya Israel

    NETANYAHU ANUSURIKA BAADA YA SHAMBULIO LA DRONE YA MAGAIDI WA HEZBOLLAH WAKATI WA ZIARA YAKE KASKAZINI ‘YA ISRAEL. Waziri Mkuu wa 'Israel' Benjamin Netanyahu amenusurika dhidi ya shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah wakati alipotembelea...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi amwakilisha Waziri Mkuu kuchangia Kanisa la Waadvertista wa Sabato Jimbo Dogo la Mara Kaskazini

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 11 Aprili, 2026, katika jimbo dogo la Mara Kaskazini wilayani Tarime, mkoani Mara amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwanja unaojengwa Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya Wete unawekewa nyasi zilizotoka kwenye Uwanja mwingine

    Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ndonde Totinan atangaza kujiuzulu nafasi ya Katibu wa Kanda Kaskazini - CHADEMA

    Mhe. Katibu Mkuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) YAH: KUJIUZULU NAFASI YA KATIBU WA KANDA - KASKAZINI Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Kwa heshima kubwa ninapenda kujulisha kuwa ninajiuzulu nafasi yangu ya ukatibu wa Kanda ya Kaskazini kuanzia leo hii tarehe 01.04.2026...
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wabunge wawili wa Chato Kusini na Chato Kaskazini

    TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI Ndugu Wanahabari, Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
  15. Royal Son

    JamiiForums Tanzania SHERIA ZA KOREA YA KASKAZINI ZA KUSHANGAZA ZAIDI

    Kabla ujaenda kuishi Korea Kaskazini unatakiwa kuzifahamu hizi sheria 10 ngumu wanazokumbananazo raia wa taifa hilo 1. Kama mtu atafanya uhalifu, atafungwa jela yeye, watoto wake na wajukuu zake wote 2. Hutakiwi hata kutafakari kuhusu uhalifu, yaani ukikamatwa hata ukitafakari au kujiuliza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  19. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
Back
Top Bottom