Search results

  1. Beberu

    Zulia vs Kapeti, kipi kinafaa kwa geto?

    Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya? Zulia. Kapeti za manyoya
  2. Beberu

    Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

    Wakuu kama kichwa kinavosema, Preferred brands ni Samsung na Xiaomi
  3. Beberu

    Uaminifu mdogo chanzo cha maisha magumu na umaskini kwa watanzania

    Salamu bongo ? Pita hivi rafiki wew 😂 Karibuni tena kwenye ulimwengu wa kibepari, ulimwengu wa BEBERU, Ipo hivi ndugu zangu, katika nchi yetu ya Tz, ukiacha sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama siasa, na vitu ka hivyo ila sababu kuu ya kwanini waTz wengi hatuendelei ni kukosekana kwa UAMINIFU...
  4. Beberu

    Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  5. Beberu

    Jinsi ya kustaafu miaka 5 mbele toka leo

    Achana na salamu kwan ni chakula? Sasa wakuu, plan hii inainvolve mtu kustaafu miaka mitano mbele kuanzia siku ya leo, may be inaweza kuwa 6 ila sio mbaya, Plan yenyewe ni hivi, hakikisha unasave 2.2M kila mwezi kwa miaka 5 toka leo katika mfuko wa Bond fund UTT ambao kwa wastani huongezeka...
  6. Beberu

    Bima ya afya iache ubaguzi

    Mnogage, Wakuu kuna kitu mm sikielewi kuhusu bima ya Afya ya Taifa, NHIF, bima hii ni yetu sote lakini m naona imekaa kuwapendelea watumishi wa serikali na kututesa watu tulipjiajiri ambao ndio wengi, Kwanin nasema hivyo ? Tazama, mtu anaelipwa 1,040,000/- anakatwa 31,000/- kwa mwezi kama...
  7. Beberu

    Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

    Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo, Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
  8. Beberu

    Live Ihefu 1 - 3 Azam Fc, 05/11/2023

    Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates, Imeanza saa 10, Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates Full time 1-3 in favor of Team bora sana ya Azam Fc
  9. Beberu

    Fei toto katoa Assists 2, Azam ikiua 3-0 kigoma

    Match ipo dakika ya 80 Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr Silla Allasane diao Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.
  10. Beberu

    Bei ya zile herufi zinazowaka usiku ipoje?

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz. Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.
  11. Beberu

    Una operate vipi branch za biashara yako huku zikikupa faida?

    ........... (Salamu) Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo Dar, Ubungo) Changamoto kwangu naona sina uzoefu wa kusimamia hizi biashara, hii ya kwanza naiweza...
  12. Beberu

    Azam Cola ni nzuri kuliko coca cola, nini kimewakuta coca cola

    ...........(salamu) Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an, Anyway may be ni...
  13. Beberu

    Wanasiasa na wanataaluma msipotoshe jamii kwa maksudi

    ................, (Salamu kwa kilugha chenu) Ndugu zangu wa Tz, naomba niweke wazi msimamo wangu, mm naunga mkono uwekezaji katika bandari na nyanja nyingine zote katika nchi hii ENDAPO kutakuwa na masharti yanayoinufaisha Tz pia (win - win situation) Katika suala la Bandari baada ya mkataba...
  14. Beberu

    Biashara ya Hardware kwa 13M

    Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake, Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo, Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu, Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara...
  15. Beberu

    FT: Azam FF 3 Vs Tanzania Prisons 1 (28/08/2023) Azam Complex Stadium

    Game hio inachezwa leo pale Chamazi, mashabiki wa Azam karibuni kwa updates Kikosi cha team bora Azam FC. 0' match imeanza hapa chamazi 11' Dubeeeeeeee, Azam wanapata uongozi mapema hapa 35' Azam wanautawala mchezo leo, ila matokeo bado ni 1-0, 47'Goooooool Nado anatupa bao la pili Azam...
  16. Beberu

    FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
  17. Beberu

    Anayeijua Clouds City vyema njoo hapa

    Wakuu, kila mtu apambane na hali yake , Kuna hivi. Viwanja wanatangaza clouds FM kwenye mji wameuita clouds city, SQM 1 wanauza 8,000/- Ina maana kiwanja cha sqm 800 ni 6.4M, Viwanja hivi vipo sehemu inaitwa tundwi Songani, wanakupa ofa ya kulipa kwa miezi 33, Sasa shida yangu kuja...
  18. Beberu

    Sabwoofer Bora za Alitop zinauzwa kwa bei ya kutupwa

    Wakuu, Heri ya mwisho wa week kwenu nyote Wakuu, nina mzigo mkubwa sana wa Subwoofer hizi bora kabisa na pendwa hapa mjini, Mzigo huu una sifa zote zinazohitajika kwa matumizi ya kijana wa kisasa kama vile ◽Remote control ◽Bluetooth ◽USB port ◽Fm radio ◽Warranty mwaka ✅Free delivery in Dar...
  19. Beberu

    Azam wazindua Jersey bora zaidi Duniani

    Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24 Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja, Simba na Yanga...
  20. Beberu

    Zuckerberg na ndoto ya kuua social network nyingine

    Huyu jamaa baada ya kusumbuana na twiter na Telegram muda mrefu naona sasa kaamua awaue kabisa, Anacopy features nyingi za telegram na kuziweka WhatsApp, anakuja na uwezo wa kutuna HD picture, anakuja na channels sasa hapo Telegram itakuwa haina jipya Kwa sasa anaanzisha app ya threads, hii ni...
Back
Top Bottom