FT: Azam FF 3 Vs Tanzania Prisons 1 (28/08/2023) Azam Complex Stadium

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,945
Game hio inachezwa leo pale Chamazi, mashabiki wa Azam karibuni kwa updates

Kikosi cha team bora Azam FC.

20230828_185154.jpg


0' match imeanza hapa chamazi

11' Dubeeeeeeee,
Azam wanapata uongozi mapema hapa

35' Azam wanautawala mchezo leo, ila matokeo bado ni 1-0,

47'Goooooool
Nado anatupa bao la pili
Azam 2-0 T. Prison

82' Goooooal, Chilambo anatupatia Azam Fc goal la tatu,
Azam 3- 0 T. Prison

90' T Prison wanapata bao na kufanya matokeo kuwa 3-1

FT. Azam 3-1 T.Prison

Mchezo wetu unaofuta ni Azam Vs Singida Utd katika uwanja wa Azam Complex,
Kwa sasa tupo kileleni kwenye ligi ya NBCPL

AHSANTE, mashabiki wenzangu
 
Azam anaongoza uzi umepoaa, prisons akichomoa na kushinda kabisa wazee wa nyuma mwiko na nguvu moja watamiminika humu kama mafuriko.
Ndiooo,
Wazee wa kkoo wanakujaga tukifungwa tu, tukishinda wanakimbiaaaa
 
Back
Top Bottom