Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,945
Wakuu katika nchi,
Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali,

Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo,

Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka unaopelekea watu fulani kutaka kupata madaraka kwa tiketi ya dini badala ya sera zao za kisiasa, (wanafanya hivi kwa maana nchi walimo % kubwa ya watu ni waislam, so wanajua wakipita na mgongo wa kujifanya watu wa dini wataoendwa sana)

Tuliona Afghanistan, Hamas, IS walitaka kutawala Iraq na Syria, zote kwa kujifanya wanampigania Allah lakini ukweli ni kuwa ni kikundi cha watu ambao wanaona hawana nafasi za kuingia kwenye system kwa mbinu za kisiasa so mpango ni kutumia dini,

Upande wa Hamas utaona kabisa viongozi wake ni watu wanaotaka madaraka badala ya kusimamia ustawi wa watu wa gaza, badala ya kukomaa kufanya Gaza iwe sawa wao wanatumia misaada kufanya ugaidi, mwishoni wanawacost watu wengi wasio na hatia maisha yao,

Viongozi hawa licha ya kelele zote za kujifanya wapo upande wa dini wao hawaish maisha ya kidini,
Eg, viongozi wa Hamas wapo wanakula bata Qatar, viongozi wa Afghanistan wapo kabul wanakula bata, watoto wao wanawasomesha kwa mzungu, wakiumwa wanatibiwa kwa mzungu, ila kwa raia wanaleta habari za udini,

Kama taifa na dunia nzima, lazima tujifunze kutenganisha dini na siasa, na tuwaepuke viongozi wote wanaotumia mgongo wa dini kutaka kuingia madarakani,
Awe mkatoliki, awe muislam.au TAG,

Tufanye siasa zetu bila kuhusisha dini, ukoshahusisha dini mambo yanakuwa magumu, binadamu wengi wakifika kwenye dini huwa hawatumii akili kabisa zaidi ya hisia, so lazima tufanye vitu hivi visiingiliane kabisa.

Wenu katika utafutaji wa pesa
Beberu J
 
Unafahamu mchango wa dini katika harakati za kudai uhuru Afrika ?

: Umesoma elimu ya msingi yote
 
Unafahamu mchango wa dini katika harakati za kudai uhuru Afrika ?

: Umesoma elimu ya msingi yote
Kwa kukujibu tu,
Sijasoma elimu ya msingi, niliishia darasa la pili,

Mchango wa dini ni mkubwa ndio sikatai, lakini dunia ishabadilika sanaaaa, mbinu zilizofanya kazi miaka ya 60 na 50's haziwez fanya kazi miaka hii mkuu,

Na kuthibitisha hilo, baada ya uhuru nchi nyingi Africa zilipitia changamoto ya vita vya kidini, hii yote ni kuonesha unapohusisha dini na siasa matokeo yake huwa sio mazuri kabisa
 
Cheap narrative
Nime summarize tu mkuu,
Ila unaweza nitajia nchi hata moja tu duniani, inayo ongozwa na watu walio ingia ikulu kwa mgongo wa dini na inafanya vizuri, haina rushwa na wananchi wake wana ustawi ?
 
Kwa kukujibu tu,
Sijasoma elimu ya msingi, niliishia darasa la pili,

Mchango wa dini ni mkubwa ndio sikatai, lakini dunia ishabadilika sanaaaa, mbinu zilizofanya kazi miaka ya 60 na 50's haziwez fanya kazi miaka hii mkuu,

Na kuthibitisha hilo, baada ya uhuru nchi nyingi Africa zilipitia changamoto ya vita vya kidini, hii yote ni kuonesha unapohusisha dini na siasa matokeo yake huwa sio mazuri kabisa
Kipi kilicho badilika kati ya kinacho tokea Palestine sasa na kilicho kuwa kina tokea babu zako ?
 
Uvamizi wao wa Israel unaonyesha hilo,
Sawa eneo ni lao lakin ukichek how they operate, how they rule gaza,
Unasema tu hawa jamaa ni magaidi
Ukicheki nini ? Unaleta hoja za kijinga kijinga na kuanza kuita watu magaidi hovyo hovyo bila sababu za msingi kisa hao waume zako wa magharibi wamesema hivyo wewe unaunga tela kama mwendawazimu.

Unataka uwapangie namna gani Hamas wanapaswa kuiongoza Gaza wewe uliwapigia kura kuwa chagua ?
 
Ngoja waje wenyewe mihemko yenyewe wakiambiwa wachangie sadaka ya umeme yanatoa buku kimada anenda kumpa 10 elfu na wakiombwa Sana sadaka yanakimboa na kumuongelea vibaya kiongoz wake wa ibada
 
Mbinu gani zimebadilika wewe mpuuzi
Haya umeona mbinu walizotumia zilipowapeleka?
Wanaenda kufutwa duniani, Gaza itakuwa chini ya Israel kiulinzi, so unaona bado walitakiwa watumie mbinu waliyotumia ,?
 
Ukicheki nini ? Unaleta hoja za kijinga kijinga na kuanza kuita watu magaidi hovyo hovyo bila sababu za msingi kisa hao waume zako wa magharibi wamesema hivyo wewe unaunga tela kama mwendawazimu.

Unataka uwapangie namna gani Hamas wanapaswa kuiongoza Gaza wewe uliwapigia kura kuwa chagua ?
Sikuwachagua, ila inabidi ujue, usipoongoza watu vizuri matokeo yake ndo kama hayo,
Ndo mana unaona hata hao raia wa Gaza this time hawapo pamoja na HAMAS, kwa sababu wanajua Hamas wapo hapo kwa ajiili ya madaraka, sio kwa ajiili ya watu,

Wangekuwa hapo kwa ajiili ya watu wangefikiria vyema nini wanakifanya kabla ya oct 7
 
Haya umeona mbinu walizotumia zilipowapeleka?
Wanaenda kufutwa duniani, Gaza itakuwa chini ya Israel kiulinzi, so unaona bado walitakiwa watumie mbinu waliyotumia ,?
Wanaenda kufutwa nani ? Wewe ndio unae pigana hapo Gaza ?
 
Back
Top Bottom