Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 3,942
- 7,938
Salamu bongo ? Pita hivi rafiki wew π
Karibuni tena kwenye ulimwengu wa kibepari, ulimwengu wa BEBERU,
Ipo hivi ndugu zangu, katika nchi yetu ya Tz, ukiacha sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama siasa, na vitu ka hivyo ila sababu kuu ya kwanini waTz wengi hatuendelei ni kukosekana kwa UAMINIFU katika jamii yetu kwa ujumla, heb check
Mbongo mkopeshe ndio imetoka hio,
Mpe malipo kabla ya kazi ugeuke mtumwa wake π
Mdhamini kwenye mkopo ulipe huo mkopo mwenyewe
Mpe mali kauli mbongo ahame duka lako π
Kakope mkopo kwa niaba ya mbongo (wafanyakazi) ili upoteze rafiki, ndugu au mke/mume kabisa
Suala la UAMINIFU kwa wabongo ni msamiati mgumu sanaa, lakin laiti tungekuwa waaminifu ungeshuhudia jinsi ambavyo maisha yangekuwa rahisi,
Ingekuwa rahisi kwa mabenk kukopesha kwa riba ndogo mana uhakika wa kurudisha ni mkubwa,
Ingekuwa rahisi hata sisi kwa sisi kusaidiana mikopo ya biashara na vitu ka hivyo, imagine leo hii kwenye circle yako ni watu wangapi unaweza wakopesha 1M ukawa na amani kuwa watalipa 100% kadri ya makubaliano yenu ? Wengi mtu anakopa 1M kwa ahadi atalipa after 1 month, then baadae anaanza sababu, anaanza kukupa mara 50, mara 200, ndani ya mwaka ndio hela imeisha huku ashakuvurugia mipango kibao, wengi hawakopeshi kwa sababu hii,
Ila tungekuwa waaminifu wengi wetu tungekopeshwa na ndugu, jamaa na marafiki, mfano mm binafs, kwenye ukoo wangu, watu ambao naweza wakopesha 30K tu kwa amani hawafiki 7, wengine unawapa then unaanza kusikilizia story nyingi mpaka unaachana na deni hilo, sasa mtu kama huyu nitampa mkopo wa 2M afanye biashara? Au nitamdhamini mahali akope? Au nitampa mali kauli kwenye biashara yangu?
Ingekuwa rahisi kupata mali kauli, kama ndugu zetu wahindi wanavyopewa wao kwao india kisha wanapeana wao kwa wao, hapa bongo mpe mtu mali kauli, mtu yupo radhi ahame hata frame ili tu akupige πππ ndio utawin, ila sasa ndio hivyo mnatengeneza mazingira magumu ya kizazi kijacho
Ukweli ni kuwa, UAMINIFU mdogo baina yetu, unafanya biashara na maisha yetu kuwa magumu zaidi kuliko siasa na hali ya hewa,
Ndugu mtanzania m nakuomba, ukikopa, lipa kwa wakati, ukiahidi timiza, kuwa Muaninifu kwa faida yako binafsi na ile ya taifa nzima
Mpaka wakati mwingine,
Wenu Beberu J
Alamski