Wanasiasa na wanataaluma msipotoshe jamii kwa maksudi

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,947
................, (Salamu kwa kilugha chenu)

Ndugu zangu wa Tz, naomba niweke wazi msimamo wangu, mm naunga mkono uwekezaji katika bandari na nyanja nyingine zote katika nchi hii ENDAPO kutakuwa na masharti yanayoinufaisha Tz pia (win - win situation)

Katika suala la Bandari baada ya mkataba ule kuvuja, wanasiasa na wanataaluma wengi wakisema wao ni wanasheria waliudadavua mkataba ule na kuja na majibu yao, binafs ni mtu wa Afya so nilitegemea zaidi kusikiliza wataalamu wa sheria kuliko kujifanya najua kitu nisichokijua, bas katika mkataba huo kati ya kitu kilichoniboa na kuniuma ni kusikia bandari zote, Anga na njia za usafiri anapewa mwekezaji milele, kusema kweli sikumwelewa Samia katika hilo, ila ndio hivo wanasiasa na wanasheria wakadai mkataba unasema hivo, nami nikasema sawa, nikabishana na watu kuhusu hilo nikiponda mkataba katika kona hio,

Lakini naona sasa wametangaza tenda zaidi pale bandarini kwa gate namba 8-11, bandari ya uvuvi kilwa inajengwa na sio DP world, wanasema na Bandari ya Bagamoyo watatangaza tenda tena,
Hivyo inaonesha yale ya mwanzo ilikuwa ni uongo, kusema kweli imeniuma, mnatudhalilisha huku mtaani tunaonekana kama wafuasi wa kibwetele,

Wanasiasa na wanasheria, tuungane kukosoa mikataba na sheria mbovu ila sio kwa kupotosha umma kiasi hik huku tukijua tunanguvu kubwa tunayoaminika kwenye jamii,
Tunaoumia ni sisi huku kwenye vijiwe vya siasa kuonekana tulidandia kitu tusichokijua

Mpaka wakati mwingine tena, ulikuwa nami Beberu J, future Jf owner
Alamski
 
Kama wanatudanganya huo ndio uelewa halisi wa mambo hayo!!?
 
Back
Top Bottom