Azam Cola ni nzuri kuliko coca cola, nini kimewakuta coca cola

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
4,177
8,553
...........(salamu)

Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,

Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
 
Exactly,Ina taste nzuri
 
Mmh bado kwangu coca ni bora japo Azam pia wanajitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mafisadi yakiwa yanasafiri yaombe yakubebe coca cola za nchi nyingine nzuri tembea kwa miguu tu hata hapo UG au Kwa Ruto utajionea ladha tofauti.
 
Coca-cola na Pepsi nzuri ni za Amerika ya Kusini nchi kama Mexico. Mexico always wana vyakula vizuri ukiwaletea vinywaji vyenye radha ya kipuuzi hawanywi.
Wakati soda za nchi nyingine wanatumia corn syrup kama sweetener, sasa yawezekana na Coca-cola zetu wamebadili sweetener na labda wanatumia maji mabaya. Kinywaji kizuri ni kile kinatumia sukari ya miwa isiyochakachuliwa.
 
...........(salamu)

Wakuu, hivi ni mimi tu ambae naona soda za coca cola siku hizi sio kama za zamani? Yan nikiwa na hamu ya cola naona Azam cola ni nzuri inasisimua na ladha nzuri kuliko coca cola, coca cola za siku hizi zimepoaaaa kama ma juice ya kuchanganya na maji an,

Anyway may be ni ulimi wangu tu, vipi kwenu
Nilikunywa koka kola juzi, na hivi haikuw ya baridi, ndio niliipata zaidi 🤣
 
Back
Top Bottom