oven

An oven is a thermally insulated chamber used for the heating, baking, or drying of a substance, and most commonly used for cooking. Kilns and furnaces are special-purpose ovens used in pottery and metalworking, respectively.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  2. Sexer

    Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
  3. Beberu

    Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  4. mercyg123

    Vifaa vya Bakery

    Full set backery machine vifaa vyote vinafanya kazi. vimetumika mwaka mmoja tu! Yaan vingine ni vipya kabisaaa! Ukinunua kazi yako ni kununua unga nakuanza bakery yako!! (hatuuzi kimoja kimoja). 1 pc oven 2deck gas 2pc Bread improver 2pc Tray Trolley 1pc Cup cake maker 1pc Donut Maker 1pc Ice...
  5. geofreyngaga

    Nahitaji used gas oven

    Habari. Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500. Note: iwe used. Iwe Dar Pwani au Morogoro Call/Whatsapp 0652494919
  6. Cordy bnei shirk

    INAUZWA Commercial ovens for sale

    Deck 1-1,200,000Tsh(umeme) 1,550,000Tsh(gas) Deck 2-260,000Tsh(umeme) 3,000,000Tsh(gas) Deck(Kama hiyo kwenye picha) 3-3,500,000Tsh(umeme) 3,900,000Tsh(gas) Tupo kAriakoo mtaa wa ndanda,mikoani tunatuma Call /WhatsApp 0673206639
  7. M

    These 5 diseases are caused by Microwave oven, we must be in aware of it

    source:These Diseases Are All Caused By Microwave Ovens, And You’ve Probably Ignored Them! We in general in all love microwaving. It's a remarkable, clear and beneficial cooking elective for all people. The microwave has been conspicuous in the US for north of 30 years, generally changing...
  8. fareed uziel

    HILI OVEN UNALIHITAJI JIKONI KWAKO.

    Maoven yanaouzika sana Dsm sasa yamepungua bei Bei-155,000Tsh tu *Linatumia umeme kiduchu *Linaoka mikate,cake na choma kuku na vinginevyo *Pia unaweza ukapasha chakula chako *Lina ujazo wa 48L pia ni rahisi kulitumia Call/Whatsapp 0753038470 Tupo kkoo mtaa wa ndanda Nunua leo
  9. Jidu La Mabambasi

    Royal Oven Mlalakuwa wanauza chakula lala

    Hii imenitokea leo, na adha niliyoipata Mungu tu anajua. Ni maumivu ya tumbo la kuhara lililodumu kwa muda mrefu, na nashukuru kupata huduma ya choo mahali naikawa mkombozi ili nisiadhirike. Nikiwa na njaa mchana wa leo na nikaamua kupata bites pale Royal Oven Mlalakuwa. Nikanunua...
  10. khayraat

    INAUZWA Nauza Oven, karibuni sana

    Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel Price Tshs 650,000/= #Product Features . 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker [emoji830]Electric oven and grill [emoji830]Push Button Ignition [emoji830]Mechanical Timer [emoji830]Thermostat [emoji830]Oven Lamp...
  11. M

    INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana kariakoo ndanda st Tunadeliver free kwa dar pia. Call/text/WhatsApp 0656666662.
  12. masai dada

    Cake bila oven

    Ni ya vanilla na maziwa nimeipika kwa gesi tu. Nimetumia Unga:250g Sukari (icing suga):200g Mayai:5 Maziwa:vijiko vitatu vya chai Vanilla:kifuniko kimoja Butter:250g Baking powder:2teaspoon Ukianza kumix kama huna mashine ya kumixia tumia ya mkono ila koroga kweli kweli na haraka haraka...
  13. Cordy bnei shirk

    INAUZWA New electric oven kwa 195,000 tu

    Call/whatsapp 0788622610 Offer offer bei 195,000 tu Oven mpya ya umeme ya kisasa Ina plates 2 juu za kupikia chochote Ina ujazo lita 48 Ina grill pamoja na kuchoma mikate, cake, nyama, kuku etc Ina timer Ina warranty mwaka mmoja Location: DSM
Back
Top Bottom