14 August 2026
University of Dar es Salaam
UDSM
Tanzania
Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities
https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc
wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
Miaka ya hivi karibuni wanasiasa wamekuwa na nguvu kubwa pengine kuliko kundi lolote kwenye jamii
Hii ni kwasababu, hata vyombo vya dola karibu vyote dalili nyingi zinaonyesha vinahofu na wanasiasa, vinaongozwa kwa kufuata mwanasiasa anataka wafanye nini
Polisi, mahakama, na vyombo vingine...
Wanataaluma wamepitia katika kumbo la wakati ambao historia imewaachia jeraha kubwa la fedheha juu ya kile kinachoitwa uhuru wa kufikiri. Uhuru pekee wa wanataaluma na nafasi muhimu ya maisha ya Mwanazuoni ni uhuru wa kufikiri.
Uwezo na tabia za Wanazuoni kuyaangalia masuala mbalimbali katika...
Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA.
Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu .
Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ?
Tujiandae kisaikolojia
................, (Salamu kwa kilugha chenu)
Ndugu zangu wa Tz, naomba niweke wazi msimamo wangu, mm naunga mkono uwekezaji katika bandari na nyanja nyingine zote katika nchi hii ENDAPO kutakuwa na masharti yanayoinufaisha Tz pia (win - win situation)
Katika suala la Bandari baada ya mkataba...
Habari,
Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani
NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa hawawazi huko.
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
Ni kuhusu kadhia ya kutokupandihswa madaraja kwa wanataaluma. Suala la academic promotions kwa chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) ni la kusikitisha na kufedhehesha.
Mchakato unachukua muda sana kiasi ambacho mwanataaluma anaweza kuomba promotion ikachukua mwaka na zaidi bila ya...
Habari wana Jf.
Nimeona nilete mbele ya jukwaa hili jambo ambalo kimsingi linatesa sana kada hii ya afya yaan Medical lab personels.
1. Kuwepo kwa Provisional license ya maabara. Yaani ikiwa mtu amehitimu na amequalify kabisa kwanini unampa leseni ya matazamio? Unamtazama huyu mtaalamu akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.