Search results

  1. Surya

    Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

    Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli. Wrong information Unakuwa mjinga na mtumwa bila kujijua. Nina swali, mnipe majibu kupitia Biblia ambayo na mm nimeisoma...
  2. Surya

    Aisee mapenzi ni noma

    Bwana ee kijana wa watu kwenye pita pita hapa na kule huu mtaa ninao kaa bwana vimbwanga vingi. Niliwaambia kipindi kile mazingira ya geto yalivyo, zimejaa bitch zinawasha ni upupu, aisee nashukuru nilifanikiwa kuhama salama. Sasa kuna sehemu naendaga kunywa bia moja ya kutafutia hamu ya kula...
  3. Surya

    Tamaa yangu siku zote ni mapenzi tu, nafurahi nimepewa vingi

    Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye. Maandiko yanasema hivi... hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya...
  4. Surya

    Tambua wapi unakwenda na jua muda ni mali

    This life is so fucking terrible, people love, Crayz Love but behind Love there's Money. Money. To find money, you need time, na mtaji wa kwanza ni Afya na Akili. Health mind Even your father can just use you, only to fulfill his own desire. Oky all of us we Love. What you Love ? You...
  5. Surya

    Niliwahi kupendwa na single Mother

    Kabla sijasema hili la kwanza la kupendwa na Single mother, niseme kwamba, mimi ndie yule ambae niliwahi kukataliwa na single mother. Mambo ni mengi sababu ni nyingi.. Lakini soon nataka niandike uzi kuhusu Ndoa na Mahusiano, kuna mambo wanaume tunatakiwa kuwekana sawa. Naamini mtazamo wangu...
  6. Surya

    Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

    Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
  7. Surya

    Baba kutaka kutawala vya Mtoto

    Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka.. Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha... Katika utafutaji inaweza kuwa ajira serikali au ujasilia mali, mvutano unaanza kwa mtoto na baba (na mimi ni baba ajae) hasa wazazi wa...
  8. Surya

    Tufungue siku na haka ka jarida ka Upendo au Kupenda

    Iko hivi Mungu ni upendo, A material which create God is Love. Kama huna upendo wewe ni bure kabisa. Mungu anawapenda watu wote wanao mjua na wasio mjua, wenye akili na wasio na akili wote Mungu anawapenda.. Upendo una sura pana, Mzazi akimchapa mtoto unaweza fikiri anachuki nae, lakini ni...
  9. Surya

    Shule haikwepeki, hata kama hukwenda darasani, bila hivo utabaki maskini na Mungu atakukataa

    Nafungua ukurasa huu tujadiliane watu wote, wake kwa waume. Wanasiasa, wafanyabiashara, Watumishi wa Mungu wote na hata wapagani Karibuni tuelekezane kwa upole na amani. Hakikisha unamfundisha mwenzio kwa uwazi, kwa upendo wote bila makasiriko. Nimesema shule nikimaanisha sehemu ya kujifunza...
  10. Surya

    Heshimu mwanaume anayekupa malisho

    Material create God is LOVE, Mungu ni pendo. Mapenzi ni hisia kama huna hisia njoo tukuombee. Kuna story nimeitoa kwenye maandiko matakatifu ikieleza Mwanamke ni nani kwa Mwanaume. Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja wao alikuwa tajiri, wa pili maskini. Yule tajiri alikuwa na...
  11. Surya

    Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

    Aina mbili za ndoto ni :- i. Symbolic dream (yenye fumbo) ii. Reality dream (isiyo na fumbo) Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani. Kuna mambo mengi ambayo si...
  12. Surya

    Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

    Kwanini nasema life is spiritual.. Kila jambo linaanzia rohoni Usipoishugulisha akili (nafsi) yako kujua hivi vitu jiandae kuwa mtumwa, tena mtumwa haswa Mtumwa wa mapenzi, mtumwa kifedha, na mtumwa kimaamuzi. Mtu ni i. Roho + ii. Nafsi + iii. Mwili. Akili (mind) inakaa katika Nafsi, na...
  13. Surya

    Kuruka na malaya ni kujiaibisha bora nipande mnazi

    Aisee nisiposema nitakuwa mbinafsi .. Mazingira niliyonayo sijui ni wangapi wanaweza toboa hii life style Kwanza Mama mwenye nyumba wangu anamiliki Bar na hana mume, sasa bitch zinazopishana hapa ni kasheshe, Na mm ndio huwa nafungua geti mala nyingi.. Wauza bia wapo wawili wanakujaga kulala...
  14. Surya

    Udhalimu kwenye huduma za Afya, watoa huduma wengi Matapeli // Sakata la Mwakinyo

    Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya. Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania Tamaa ya fedha...
  15. Surya

    Maisha yamekuwa magumu sana, hakuna pesa za kuhonga

    Kuna Baa moja hapa nimezama na mim kwa leo, yani wanaume wote counter tumenuna tupo buyu, bar ina wanawake wengi saana lakini tunaziangalia tu zikijipitisha hakuna cha kuwaita wala kuwasemesha. Mimi ni nani nianze kusaliti kambi na huku hela ngumu balaa 😁😏😏😏
  16. Surya

    Ukikutana na Polisi au Mwanajeshi kwenye ndoto nini Tafsiri yake?

    Kati ya ndoto ambazo ni rahisi kupata tafsiri yake basi ni zile ndoto unapokutana na watu wa usalama katika ndoto. Mambo ni mawili, polisi anaweza kuwa upande wako (polisi mzuri) au polisi anaweza kuwa against na wewe (police mbaya). Police mzuri - Malaika. Police mbaya - Majini (roho chafu...
  17. Surya

    Chapa ya Mpinga Kristo nyuma ya Worldcoin na Crypto currency, AI robot

    Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la mada hii nielezee kwanza Worldcoin ni nini ? Cypto/Cryptocurrency ni nini ? na mahusiano yake na AI robot. Baadhi ya member wa JF nimeona wakigusia mada hii kwa sehemu ndogo.. Worldcoin ni nini? Worldcoin ni jukwaa la utambuzi wa kidijitali ambalo linalenga...
  18. Surya

    Mungu na Binadamu tumegawanyika mara tatu

    Katika maisha ya duniani Binadamu toka kuzaliwa kwake anaishi maisha ya kujifunza. Vyanzo vya maarifa vinajulikana, na milango ya kupokea ni milango yote ya fahamu. The more you know the more you function. Twende kwenye mada, short and clear bila kutoa reference. Binadamu au Mtu kagawanyika...
  19. Surya

    Napenda kusikiliza ndoto

    Mtu ni roho anayo nafsi na anakaa ndani ya mwili. Roho na Nafsi vikiumwa na mwili nao unaumwa. Sikuwahi kufikiri ninaweza kufanya kazi ya kusikiliza wagonjwa na kuwatibia kwa kuwapa matibabu ya dawa na ushauri. Doctor's skills imenisaidia sana kuanza kupenda ukaribu na watu jambo ambalo...
  20. Surya

    Ukiweza kumuheshimu binadamu mwenzio utamuheshimu Mungu pia

    Maisha ya mtu na mtu hapa duniani na utawala wa nchi, unamahusiano sana na Mungu ni nani kwetu. Isaya 49:15 Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe. Mungu anasema hawezi kukusahau wewe, pia...
Back
Top Bottom