Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Aina mbili za ndoto ni :-
i. Symbolic dream (yenye fumbo)
ii. Reality dream (isiyo na fumbo)

Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani.

Kuna mambo mengi ambayo si mazuri tunayapitia, lakini unapofunuliwa pia katika ndoto ni kutiwa moyo na kuambiwa kuwa, hilo unalopitia hata mbingu inalitambua kwahiyo usife moyo, kuwa na moyo mkuu.

Ndoto kioo cha simu yako kimepasuka..

Inaashiria kuwa kutakuwa na kutokuelewana kati yako na rafik au ndugu wa karibu wa jinsia moja na wewe.

Binafsi nilipitia discomunication nyingi sana na baba yangu mzazi na ndoto hii niliipata sana kabla ya ugomvi na mzazi wangu.

by dr. Surya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom