utambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sir Clinton

    Kampuni ya PepsiCo

    Iv brela inaitambua kampuni ya PepsiCo ambayo wananchi wengi wanaweka fedha zao Kama hisa kwa lengo la kufanya investment?
  2. Kaka yake shetani

    Matumizi ya utambuzi wa muziki MP3 yanaelekea kupunguzwa na mfumo wa FLAC

    Kwa wale wapenda mziki wa mfumo digitali baada ya kutumia teknolojia ya wave audio na mpaka kufika kwenye mfumo wa mp3(MPEG-1 Audio Layer III or MPEG-2 Audio Layer II) ambayo formati hii ilisaidia kupunguza ukubwa wa data wa sauti ili ubaki kwenye quality ile ile. Teknolojia inazidi kukuwa...
  3. OCC Doctors

    Rangi ya Choo kubwa na utambuzi wake kiafya

    Kinyesi cha kawaida huwa na rangi ya hudhurungi (brownish) kutokana na kuwepo kwa kemikali ya 'stercobilinogen' kwenye utumbo. Kinyesi cha watoto wachanga huonekana kahawia-njano au kijani-njano. Kinyesi Kisicho na rangi (Pale coloured stool) ni kwa sababu ya kukosekana kwa 'stercobilinogen'...
  4. Surya

    Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

    Kwanini nasema life is spiritual.. Kila jambo linaanzia rohoni Usipoishugulisha akili (nafsi) yako kujua hivi vitu jiandae kuwa mtumwa, tena mtumwa haswa Mtumwa wa mapenzi, mtumwa kifedha, na mtumwa kimaamuzi. Mtu ni i. Roho + ii. Nafsi + iii. Mwili. Akili (mind) inakaa katika Nafsi, na...
  5. Mparee2

    Vyanzo vya maji visivyo kauka/ vya kudumu

    Nakumbusha tu kuwa, Kipindi hiki cha Kiangazi kitumike kutambua vyanzo vya maji visivyo kauka. Hii itaepusha kuwekeza fedha kwenye vyanzo vya maji vyenye maji ya msimu. Nashauri pia kuwepo na uhamasishaji wa kuotesha miti ya maji kwenye vyanzo vya maji hata kwa zile chemchem Ndogo ndogo na...
  6. Mhaya

    Jaribu kukua kifikra

    Wakati nasoma ushuhuda wa yule binti wa Mbinguni na kuzimu miaka 10 nyuma, kuna vitu viliniingia kichwani. 1. Kamwe usimwamini binadamu. Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua binadamu si malaika. Kila binadamu ana maisha ya pande mbili, kuna upande wa kwanza unaoujua, upande mwema lakini pia kuna...
  7. Wadiz

    Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
  8. BARD AI

    Mwili wa Marehemu kufukuliwa ili uzikwe upya baada ya utambuzi

    Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha kisha kwenda kuzikwa kwao. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa ACP Theopista Mallya amewaambia waandishi wa...
  9. Machilllo

    SoC03 Nafasi na utambuzi wa nafasi

    Katika Maisha tunajifunza kuwa, kila mtu haijalishi ni umri, rika, jinsia, ama uwezo alio nao huwa una msukumo katika kufanya jambo Fulani. Jambo hilo linaweza kuwa kwa ajili yake, ama kwa ajili ya jamaa wanao mzunguka. Kwa mfano tunapokuwa Watoto mara nyingi tunakuwa na akili ya kufanya vitu...
  10. T

    Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  11. KJ07

    Mwenye utambuzi wa kozi ya Instructional Design and Information Techology

    Salaam wakuu, Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na hii kozi ambayo ni bachelor of science in instructional design and information technology inayofundishwa chuo kikuu cha dodoma(UDOM) pekee. KIU yangu ni kutaka kujua hii kozi inahusiana na nini na anayesomea kozi hiyo anakuja...
  12. Erythrocyte

    Zoezi la utambuzi wa mifugo kielektroniki mwisho Oktoba 31, 2022

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Wizara ya mifugo, Ewe Mfugaji kabla ya kukumbana na faini hiyo Sajili mifugo yako mapema. Chanzo: Habari Leo USIJE KUSEMA HATUKUKUAMBIA. =========== Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa taarifa ya ukomo wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia...
  13. Mwananchi Huru

    Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

    Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
  14. KeeTZ

    SoC02 Utambuzi wa fursa zinazokuzunguka ili kujikomboa kiuchumi

    a) UTANGULIZI. Vijana wengi wa sasa nikiwemo mimi kwa muda mrefu tumekuwa tukilalama, na pengine kuilalamikia serikali kwa uhaba wa fursa zinazoweza kufikika ili KUJIKOMBOA ki uchumi, mawazo haya yameshika hatamu vichwani mwa vijana wengi wakihisi fursa ni lazima mtu akukamate mkono na...
  15. Nyalotsi

    Waziri husika, hili la uwekaji vibao kwa ajili ya utambuzi wa makazi mliangalie upya

    Hili suala ni zuri sana kwa mustakabali wa maendeleo ya makazi na maeneo tunayoishi. Tatizo limeanzi kwa watu waliopanga kufanya kazi hii. Hakuna ushirikishwa wa wananchi wa maeneo husika Wala viongozi wao! Kuna mianya mingi ya watu binafsi kupanga mambo yao kwa manufaa yao. Mf Kuna maeneo...
  16. MikeNtunga

    SoC01 I know this is hard to understand

    I KNOW THIS IS HARD TO UNDERSTAND. REAL CHANGE COMES FROM INSIDE A 1500 story by Michael Ntunga. PROLOGUE (ONE); SOMETHING IS WRONG. Three nights, three nights was when Mulenga last had a decent goodnights sleep, all her days were long filled with work and responsibilities. She...
Back
Top Bottom