kioo

 1. Jafaricom

  Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

  Je una laptop iliyovunjika kioo Nina laptop mbili za Dell inspiron 15 Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee. Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6) bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia pia nina keyboard nzimaaa Keyboard nauza 40,000...
 2. Lawrance franci

  Tunauza manual wheel alignment⁣⁣

  MANUAL WHEEL ALIGNMENT⁣ hii ni mashine yakupimia tyre ambayo inatumia kioo na laser⁣ Bei ni 1,500,000/=⁣ ⁣ ●Free delivery in Dar⁣⁣ ●Ndio⁣.⁣ Mikoani kote tunatuma kwa usalama na uhakika.⁣⁣
 3. FRANC THE GREAT

  Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael ya Israel pamoja na Atos ya Ufaransa ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" ama "Glass Battlefield"

  Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
 4. S

  Afrika Kusini: Mwanamke aliyeweka vipande vya kioo kwenye uji wa mwanaye ashtakiwa kwa kesi ya mauaji

  Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11) Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo jambo lililosababisha kifo cha mtoto huyo. Mwanamke huyo alikamatwa wiki...
Top