Tamaa yangu siku zote ni mapenzi tu, nafurahi nimepewa vingi

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩

Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu.
nikutonye. Maandiko yanasema hivi...

hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya Mungu) ila atalipwa mala kumi zaidi nyumba watoto, mali, fedha na katika ule ulimwengu ujao uzima na milele.

Tuyaachee hayo, mitihani bado mingi haijaisha.

~ Nikiwa mtu mzima sijawai kukosa wala kupungukiwa chakula, nimependa chakula cha asili siku zote na kula kwa kiasi.

~ Sikuwahi kunungunika kwa kukosa mavazi Mazuri.
Niliyonayo yalinilidhisha.
~ Udhaifu wangu pekee ni Mapenzi, kumpenda mwanadamu.

Nazungumzia upendo wa kimapenzi.

Na upendo usio na sababu.
i just Love somebody with no reason.

Mwanaume ukiweza kujiongoza wapo wengi watakaotamani kuongozwa na wewe.

Now i see God start to satisfy my desire.

Hamu na utamu mapenzi, when i sex with a beautiful altar Lady, ooh my gosh i can't explain that feelings,

Desire

Moja ya sifa kuu ya binadamu ambayo hata Mungu anayo ni Kutamani au matamanio

na ukiisha kukipata kile unacho kitamani, unalidhika, unasikia kushiba, unasikia raha sex my satisfaction.

Lakini lipo tatizo moja.

Sex is not for preassure only, sex create bond. Kuwa makini umejiunganisha na mtu wa namna gani.

ukilala na mwanamke umelala na shida na raha zake.

It take wisdom to select a good partner.

Thanks.
 
Back
Top Bottom