Ukikutana na Polisi au Mwanajeshi kwenye ndoto nini Tafsiri yake?

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Kati ya ndoto ambazo ni rahisi kupata tafsiri yake basi ni zile ndoto unapokutana na watu wa usalama katika ndoto.

Mambo ni mawili, polisi anaweza kuwa upande wako (polisi mzuri) au polisi anaweza kuwa against na wewe (police mbaya).

Police mzuri - Malaika.

Police mbaya - Majini (roho chafu zitendazo kazi na shetani.)

Watoto wa Mungu tunakutana na vita ya kiroho ambayo wakati mwingine tunakuwa hatujui kama tunakutana na vita, unapopata ndoto police anajaribu kukudanganya na kukunyima haki yako ujue ni roho chafu zimetumwa kukukwamisha.

Binafsi niliwahi kupata ndoto kundi kubwa la wanajeshi wakiwa na vifalu waliziba njia ambayo nilitaka kupita, na mala nyingi ndoto hii ukikutana na jesho lazima kushikwa na hofu kubwa sana.

Kushindana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni juu ya wafalme wa giza, wakuu wa anga na mapepo wachafu katika ulimwengu wa roho.
 
Achana na kukutana nao tu mimi niliota nilipewa kibarua cha kwenda NAM kuwachukua POW's bahati mbaya zaidi wakaniteka. Ila nilifanikiwa kujikomboa na kutumia vyema umahiri wangu wa mafunzo na kurudi nao salama.

Kuamka asubuhi kumbe nipo wodini nimetoka kuchezea doso la maana.
 
Minajua tu kwamba....
Ukiota unaingia chooni, usilogwe ukajisaidia...🤣
Kwanini sasa mtu usitoe taka mwili ???
kasheshe ni pale ukikanyaga kinyesi 🤣🤣😃😃 ni umeyakanyaga kweli
 
Ujinga hauishi hakuka,mtu anaweza kuutumia ujinga wako kukupiga,wenzio tunayaona ma-anaconda ndotoni na tunakausha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom