Niliwahi kupendwa na single Mother

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Kabla sijasema hili la kwanza la kupendwa na Single mother, niseme kwamba, mimi ndie yule ambae niliwahi kukataliwa na single mother.
Mambo ni mengi sababu ni nyingi..

Lakini soon nataka niandike uzi kuhusu Ndoa na Mahusiano, kuna mambo wanaume tunatakiwa kuwekana sawa.
Naamini mtazamo wangu utawashangaza wengi,

Watu wana mbinu nyingi sana kwa sasa wanatafuta namna ya kumuelewa na kujua ni namna gani ya kuishi na mwanamke. Ni kiumbe ambacho huwezi kukitunza kirahis rahis kama unavyofikiri.

Woman present God.
Jinsi mwanamke anavyopenda kuonekana mzuri, anavyopenda kupendwa na kujaliwa.. na Mungu hupenda hivo.

Mwanamke ni msaidizi kwa Mwanaume, Mungu pia ni msaidi kwa Mwanadamu.

Ndio maana ukimwacha Mungu ukaabudu sanamu na mizmu, unakuwa umefanya Uzinzi.

Tuyaache hayo hayo ya baadae.

Story ilikuwa hivi.
hii sasa sikua kazini, nilikua ndio naelekea kumaliza chuo, nikapendana na bidada huyo Toto jeupe la kisukuma limeenda hewani.
Mimi na usingle wangu nikaopoa zigo kwa shangwe nyingi sana, masela walinisifia mi noma sana.

ee bhana vituko vilikua vingi tu, mimi nikaona ukiowa au kuzaa na wa hivi ni kujichimbia shimoni.

tumemaliza chuo akanitafuta, nilifatwa hadi home, manzi anataka kuonana na mm, siku hiyo nakumbuka mzee aliniona natoka na mgeni wa kike akajua sio pazuri, mzee na wivu wake nilishangaa napigiwa simu nirudi nyumbani kuna kazi. 😂😂😂

but yote kwa yote ilikuwa kila anayenijua akiniona na huyo mwanamke lazima aseme nina Manzi mzuri. mimi nabaki kucheka moyoni hamumjui huyu binti nyie ni fire.

Kipindi hicho alikua na mtoto mmoja baada ya kuachana na mm kaengeza wawili wanaume tofauti, na bado hajaolewa..

Uwongo, Tamaa, No vision ya Maisha. ndio chanzo.

Sawa wanawake hawana vision na ndoa zao, na sisi waowaji tunafeli kwenye vision hapo.

Sipingi Ndoa ila unaowa ili iweje ?

Nitarudi Na hii Mada.
 
Back
Top Bottom