Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,379
- 12,574
Katika maisha ya duniani Binadamu toka kuzaliwa kwake anaishi maisha ya kujifunza.
Vyanzo vya maarifa vinajulikana, na milango ya kupokea ni milango yote ya fahamu.
The more you know the more you function.
Twende kwenye mada, short and clear bila kutoa reference.
Binadamu au Mtu kagawanyika mara tatu.
● Mtu ni roho anayo nafsi anakaa ndani ya mwili.
● Mungu ni roho na nafsi yake ni nafsi takatifu anaye mwana wa pekee mwenye mwili.
Mungu
i. Roho
ii. Roho mtakatifu ni nafsi yake
iii. Yesu ni mwanawe wa pekee mwenye mwili.
Mtu
i. Roho.
ii. Nafsi
iii. Mwili.
Mtu yeyote akitaka kumuona Mungu kwa macho ya mwilini basi atatakiwa kumtizama Yesu, mwili wa kwanza ambao Roho ya Mungu imeingia.
Haya ni majibu ya Yesu baada ya mwanafunzi kutaka amuone Mungu kwa Macho ya nyama.
Yohana 14:9
[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
Na Mwana wa pekee Ambaye ni Yesu ndiye anakalia kiti cha Kifalme alichorithi kwa Baba yake.
Waebrania 1:8
[8]Lakini kwa habari za Mwana asema,
Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele;
Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
Hakika Mungu wetu ni mkuu na waajabu.
Karibuni wote katika ufalme wake kwa kumwamini mwana wake aliye mrithi wa yote.
Warumi 14:17
[17]Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu.
Huko mbinguni hakuna kula kujenga mwili, wala kufanya mapenzi (sex) wala kulewa pombe. Usidanganyike na Elimu za kizushi.