kupendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupendwa na demu kama mimi?

    Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula. Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tangu nilivyoanza kupendwa na wanawake wengi, pesa haikai kabisa

    Kila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee. Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo. Sasa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umaarafu na kupendwa sana kwa bracelet ya Kenya inatokana na nini?

    Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa! Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

    Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM. Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania

    Mama Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania. Mwaka 2021-2022 Mama Samia alikuwa anapendwa sio tu Tanzania lakini hata Duniani. Tuliona mialiko mingi sana kutoka nchi mbalimbali hii ilitokana na ukweli kwamba watu kwa ujumla wao wanapenda mtu ambaye ni wa watu mcheshi...
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Nitembee na mwanamke ambaye kwa makusudi hakutaka kuniambia kama kaolewa. Ukinifumania nawagonga wote!

    Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi? Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wengine wanaandika naongea kwa kufoka foka nitachukiwa, nani kawaambia nimekuja kupendwa?

    Dongo la Mwigulu siku ya leo 😂 😂 😂 😂
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi sijui chochote kuhusu mahusiano ya kupenda ama kupendwa

    Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kupendwa rahaa mpaka nimepewa hati ya tunda kuwa ni langu

    Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB. Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu chenye hati ya umiliki. Mbona CCm wanagawana vitaru.
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

    Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi Mfano...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ila kupendwa raha nyiee

    Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.
  15. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu hatari kuwa naye kwenye mahusiano kama mtu "anayehitaji kupendwa"

    mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na wanataka wapendane sasa unajiuliza hawa watu wao wenyewe tu hawana upendo ndani yao, hiyo nguvu ya...
  16. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

    WAKUU, 1. Uwezi kunambia Kila mara Unanipenda (unalia Hadi chozi) na penzi hunipi, kisa eti Hatujafunga ndoa. Binafsi naona Unaniigizia tu. 2. Sioni mantiki ya kuninyima penzi na najua kabisa nmekukuta huna BIKRA. Ukininyima penzi naamini UMENIDHARAU. 3. Kunibania penzi kiukweli hakuwezi...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dk. Lwaitama ainanga kambi ya Lissu, asema kwamba kama kupendwa hata DiamondPlatnumz anapendwa sana, lakini huwezi kumpa uongozi wa chama

    Man'gana ghasarikile. Dk. Lwaitama asema hayo wakati akihojiwa na SAUTi DIGITAL. Kwamba uongozi wa chama ni suala nyeti zaidi ya kupendwa tu. Dk. Lwaitama alieleza kwamba kama ni kupendwa, Diamond Platinum anapendwa kuliko hata Lissu lakini huwezi kumpa uongozi wa chama. Dk. Lwaitama alisema...
  18. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Peter Lijualikali huijengi CCM wilayani Nkasi unaiharibia. Ubabe hautasaidia CCM kupendwa

    ANAANDIKA MHE.ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA. JESHI LA POLISI LATUMIWA NA DC LIJUALIKALI KUFANYA UNYAMA NA UKATILI WA KUTISHA. WATOTO WACHANGA WAACHWA MAJUMBANI, VIPIGO NA MATESO VYATAWALA WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO HADI SASA. NTALAMILA Uchaguzi wa serikali za mitaa wa...
  19. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupendwa na familia nzima?

    Habari za mda huu wakuu Poleni watanzania kwa msiba wa Dkt. Faustine Ndugulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili Hii familia sijui wananipendea nini, anyway naamka na simu ya dada yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi Unatoka hiyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first...
  20. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hivi nini kipo nyuma ya 'Chipsi yai' kutochuja na kupendwa miaka yote hii hapa nchini

    Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu bado huwaambii kitu kuhusu chipsi yai iwe dar au mikoani. Na ukienda huko mbagala ndani ndani au...
Back
Top Bottom