Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,378
- 12,573
Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka..
Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha...
Katika utafutaji inaweza kuwa ajira serikali au ujasilia mali, mvutano unaanza kwa mtoto na baba (na mimi ni baba ajae) hasa wazazi wa kiume wamekua na lawama kwamba watoto wanawasahau.
Mazingira ni Mengi tofauti,
Kwenye maisha kijana kujitafuta hadi kujipata kimaisha lazima unakuwa na watu nyuma waliokushika mkono na kuwa Washauri wako wa karibu, watu hao ni ngumu sana kuwasahau na nilazima utazidi kushirikiana nao.
Niliyoyaona kwenye jamii yetu,
Badala ya watoto kugombania mali za baba, sasa ni wazazi na ndugu kugombani anachokipata mtoto.
Sio wazazi wote wapo hivo, lakina naanza kukutana na wazazi ambao, tamaa na ndoto zao wanataka kuzifikia kupitia hela za watoto wao bila kujali wewe mtoto unahitaji nini na unahitaji kuwekeza wapi.
Mzazi akipewa chochote na mtoto anaona hakitoshi kapewa kidogo, anataka ajue unaingiza sh. ngapi kwa siku, unatumia sh. ngap na nani unamgawia...
Bora huyo mtoto ambae unataka kumuongoza hivo ungemlea malezi ambayo na wewe ulimshirikisha kila jambo lako na mawazo yako.
Unakuta mzazi hataki mtoto akaribie kitu chake binafsi lakini cha mtoto baba anataka akifanyie anavyotaka kama ni chake, ?
Niulize ndivyo inavyotakiwa,..?
Ushauri wa baba ni ushauri wa Mungu wa pili ? Je kama mnatofautiana imani na mzazi wako inakuaje ?
Utashangaa baba aliyetelekeza mke na mtoto anataka apendwe na mtoto hivi inawezekana vip ??
Hata ukilaani mwanao hakujali, hiyo laana itafika kweli ?