Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Kwanini nasema life is spiritual..
Kila jambo linaanzia rohoni

Usipoishugulisha akili (nafsi) yako kujua hivi vitu jiandae kuwa mtumwa, tena mtumwa haswa

Mtumwa wa mapenzi, mtumwa kifedha, na mtumwa kimaamuzi.

Mtu ni
i. Roho +
ii. Nafsi +
iii. Mwili.

Akili (mind) inakaa katika Nafsi, na mawazo sikuzote yanachakatwa katika nafsi ya mtu.
Japokuwa ubongo ndio unatunza kumbukumbu (memory) lakini pia Katika nafsi ya mtu hutunzwa kumbukumbu.

Roho:
Roho ndio kiungo ambacho kina nguvu na kinaweza kuwasiliana na Mungu au miungu moja kwa moja na kupokea taarifa au Nguvu ya kuweza kuitumia kufanya jambo lolote.
Kwani roho ndio imeumbwa kwa mfano wa Mungu.

Ukisoma kwenye maandiko utaona wakifundisha sana enendeni kwa roho wala msizifate tamaa za mwili.
wengi hawaelewi undani wa andiko hili.

Nguvu za kiroho:
Nguvu ya kiroho ndio hutumika kumtawala mwanadamu.

Sasa unapataje Nguvu za kiroho:
Nguvu za kiroho ambazo zinaweza kukusaidia kutawala dunia, kutenda miujiza na kupigana vita ya kiroho na mengine Mengi.

Screenshot_20231010_144422_Samsung Notes.jpg

Tumia mchoro huu kuelewa roho ni nini na inapokeaje nguvu za kiroho.

Nafsi yeye ni connecter tu, anatakiwa kukubali na kutii anachokisema roho lakini shida tulio wengi tumepuuza yote ambayo nafsi zetu zimeyasikia toka rohoni na kuamua kufata mawazo ya miili yetu yenye ujinga mwingi.

Tumesema Akili (mind) zinakaa katika nafsi.

Unapokua upo macho (conscious) akili yako itachakata kila jambo na kutolea maamuzi.

Unapokua usingizini mwili unakuwa huwezi kufanya kazi tena, na ndipo nafsi inapata uhuru mkubwa wa kuweza kumsikiliza bwana mkubwa Roho. Na kujua roho anasema nini.

Ukisikia jambo au sauti fulani sauti hiyo inakwenda kuchakatwa katika Conscious mind.

Lakini unapokuwa usingizini mwili umelala, huwezi tena kusikia na kupokea taarifa kutoka mwilini bali utapokea taarifa kutoka kwa Bwana mkubwa Roho na kuzitunza katika Subconscious mind.

Kisha ukiamka unaweza kukumbuka au kutokukumbuka ni picha gani na sauti gani uliziona na kusikia ukiwa usingizini.

Asilimia 95 Mungu na miungu wengine husema na binadamu akiwa usingizini. na asilimia kama 5 akiwa katika utulivu mkubwa sana wa tafakuri (meditation).

Roho ya utambuzi (Spiritual discernment)
Roho ya utambuzi ni uwezo wa kuweza kutambua jambo kwa undani wake kwa usahihi bila kusikiliza picha ya mwilini na sauti ya mdomoni.

Unaweza kugundua kuwa kauli anayoisema mtu fulani ni ya uwongo kwa sababu kilicho rohoni mwake na kinachomtoka mdomoni ni tofauti kabisa.

Unaweza kujua mtu ambaye anataka kuiendesha nafsi yako kama roho yako itakua Macho wakati wote.

Fanya Tafiti hii:
Kwa sasa wizi mkubwa na ushirikina katika utafutaji watu wengi wamekuwa wakitafuta dawa za kiganga àmbazo zitamsaidia kuteka nafsi ya mtu asiye na Nguvu za rohoni na kumfanyia utapeli.

Wazee wa kazi wakikukuta sehemu wakakusemesha na ukawapa attention ndani ya dakika mbili tu wanakuwa wameteka nafsi na akili zako kwahiyo wakisema chochote kile wewe ni kukubali na kutii.

Mfano mzuri tu pale kariakoo wafanya biashara wengi hii mbinu wanaitumia sana, kuna jirani yangu mmoja mwanachuo alizubaa mitaa ya kariakoo akiwa na elfu 80 mfukoni alijikuta kauziwa kaptula tano unconditionally, alikua kila anayopewa anakubali kuipokea na akalipa pesa yote aliyokuwa nayo.

Ukikaa kwenye maduka yenye hela sasa ndio balaa
Wakija wazee wa kazi anakusemesha tu jambo la kipuuzi wakati unamtafakari utajikuta unaanza kutii kila anachokisema na utajikuta unampa fedha bila kukusudia.

Chuma ulete za siku hizi ni mtu anakuja na kukukombea pesa na kusepa zake, baada ya dakika tano ndio unagundua umeibiwa.

Nitaelezea zaidi kuhusu Roho ya Utambuzi..

Itaendelea.

Usikubali kuendeshwa na roho chafu na vifaa vya kiroho wakati Power Supply ipo free bila kulipia Luku
 
Kwanini nasema life is spiritual..
Kila jambo linaanzia rohoni

Usipoishugulisha akili (nafsi) yako kujua hivi vitu jiandae kuwa mtumwa, tena mtumwa haswa

Mtumwa wa mapenzi, mtumwa kifedha, na mtu kimaamuzi.

Mtu ni
i. Roho +
ii. Nafsi +
iii. Mwili.

Akili (mind) inakaa katika Nafsi, na mawazo sikuzote yanachakatwa katika nafsi ya mtu.
Japokuwa ubongo ndio unatunza kumbukumbu (memory) lakini pia Katika nafsi ya mtu hutunzwa kumbukumbu.

Roho:
Roho ndio kiungo ambacho kina nguvu na kinaweza kuwasiliana na Mungu au miungo moja kwa moja na kupokea taarifa au Nguvu ya kuweza kuitumia kufanya jambo lolote.
Kwani roho ndio imeumbwa kwa mfano wa Mungu.

Ukisoma kwenye maandiko utaona wakifundisha sana enendeni kwa roho wala msizifate tamaa za mwili.
wengi hawaelewi undani wa andiko hili.

Nguvu za kiroho:
Nguvu ya kiroho ndio hutumika kumtawala mwanadamu.

Sasa unapataje Nguvu za kiroho:
Nguvu za kiroho ambazo zinaweza kukusaidia kutawala dunia, kutenda miujiza na kupigana vita ya kiroho na mengine Mengi.

View attachment 2777732
Tumia mchoro huu kuelewa roho ni nini na inapokeaje nguvu za kiroho.

Nafsi yeye ni connecter tu, anatakiwa kukubali na kutii anachokisema roho lakini shida tulio wengi tumepuuza yote ambayo nafsi zetu zimeyasikia toka rohoni na kuamua kufata mawazo ya miili yetu yenye ujinga mwingi.

Tumesema Akili (mind) zinakaa katika nafsi.

Unapokua upo macho (conscious) akili yako itachakata kila jambo na kutolea maamuzi.

Unapokua usingizini mwili unakuwa huwezi kufanya kazi tena, na ndipo nafsi inapata uhuru mkubwa wa kuweza kumsikiliza bwana mkubwa Roho. Na kujua roho anasema nini.

Ukisikia jambo au sauti fulani sauti hiyo inakwenda kuchakatwa katika Conscious mind.

Lakini unapokuwa usingizini mwili umelala, huwezi tena kusikia na kupokea taarifa kutoka mwilini bali utapolea taarifa kutoka kwa Bwana mkubwa Roho na kuzitunza katika Subconscious mind.

Kisha ukiamka unaweza kukumbuka au kutokukumbuka ni picha gani na sauti gali uliziona na kusikia ukiwa usingizini.

Asilimia 95 Mungu na miungu wengine husema na binadamu akiwa usingizini. na asilimia kama 5 akiwa katika utulivu mkubwa sana wa tafakuri (meditation).

Roho ya utambuzi (Spiritual discernment)
Roho ya utambuzi ni uwezo wa kuweza kutambua jambo kwa undani wake kwa usahihi bila kusikiliza picha ya mwilini na sauti ya mdomoni.

Unaweza kugundua kuwa kauli anayoisema mtu fulani ni ya uwongo kwa sababu kilicho rohoni mwake na kinachomtoka mdomoni ni tofauti kabisa.

Unaweza kujua mtu ambaye anataka kuiendesha nafsi yako kama roho yako itakua Macho wakati wote.

Fanya Tafiti hii:
Kwa sasa wizi mkubwa na ushirikina katika utafutaji watu wengi wamekuwa wakitafuta dawa za kiganga àmbazo zitamsaidia kuteka nafsi ya mtu asiye na Nguvu za rohoni na kumfanyia utapeli.

Wazee wa kazi wakikukuta sehemu wakakusemesha na ukawapa attention ndani ya dakika mbili tu wanakuwa wameteka nafsi na akili zako kwahiyo wakisema chochote kile wewe ni kukubali na kutii.

Mfano mzuri tu pale kariakoo wafanya biashara wengi hii mbinu wanaitumia sana, kuna jirani yangu mmoja mwanachuo alizubaa mitaa ya kariakoo akiwa na elfu 80 mfukoni alijikuta kauziwa kaptula tano unconditionally, alikua kila anayopewa anakubali kuipokea na akalipa pesa yote aliyokuwa nayo.

Ukikaa kwenye maduka yenye hela sasa ndio balaa
Wakija wazee wa kazi anakusemesha tu jambo la kipuuzi wakati unamtafakari utajikuta unaanza kutii kila anachokisema na utajikuta unampa fedha bila kukusudia.

Chuma ulete za siku hizi ni mtu anakuja na kukukombea pesa na kusepa zake, baada ya dakika tano ndio unagundua umeibiwa.

Nitaelezea zaidi kuhusu Roho ya Utambuzi..

Itaendelea.

Usikubali kuendeshwa na roho chafu na vifaa vya kiroho wakati Power Supply ipo free bila kulipia Luku
Kwa nini husingemaliza kuandika ndio uweke hapa tusome!?
 
mtoa mada umechanganya vitu sana au tunatafautiana lugha, lakini hii mada imechanganyika sana mpaka ina fikra kuwa hai-make kwa mtazamo wangu

Hebu na mie nichangie hapa ili tujuzane vizuri
Binadamu ana mambo matatu mikuu kama alivyo Sean mtoa mada

Nafsi au spirit
Roho au soul
Mwili au body

Nafsi au spirit
unachanganya watu sasa
 
Somo zuri mtoa Mada, ila ningeomba kujua naweza vp kuconnect Roho yngu Mungu ili niweze kuwa na Roho ya utambuzi kujua mambo yaliyo fichwa
 
Roho ni kiungo?

Kiungo gani? Chenye muonekano upi?

Kwanza ulitambuaje roho ni kiungo?

Au una ongea fictions hapa..!!!
acha kupaniki Mambo ya Mungu ni zaidi ya ufahamu wa mwanadamu.

Ukiambiwa umba hata sisimizi utaweza wewe ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom