Search results

  1. M

    Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika muda tuseme kila kitu kwa uwazi kwamba, Chadema ina wazalendo wachache. Wengine wote wachumia tumbo na...
  2. M

    Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  3. M

    2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
  4. M

    Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

    Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni...
  5. M

    Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

    Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023 Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria. Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula...
  6. M

    Zanzibar inahitaji chama kingine kushinda Uchaguzi

    Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT. Zitto Kabwe hivi karibuni alitamka kwenye vyombo vya habari kwamba ACT inahitaji Tume Huru na siyo Katiba mpya. Hapa...
  7. M

    Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

    Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma. WAALIFU Kama Urio, na...
  8. M

    Wawekezaji Toka China

    Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba...
  9. M

    Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

    Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina. Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha...
  10. M

    Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

    Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake. Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI? Ni kwanini...
  11. M

    CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

    Wajuzi wa mambo wanaeema kwamba, kumuweka Mh. Freeman Mbowe ndani kwa kesi ya ughaidi, imemuongezea Nguvu kubwa mno kisiasa. Mbowe amepata nguvu kubwa mno na huruma kubwa mno kutoka kwa wananchi ambao wengi wao wanaamini kesi dhidi yake, ni kesi ya mchongo ambayo imeshabuma. Atakapotoka Jela...
  12. M

    Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
  13. M

    Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

    Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa! Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a...
  14. M

    Ramadhan Hamis Ntunzwe azidi kuanika Madudu ya TRA. Amwangukia Rais Samia

    Huyu mtu ameteswa sana. Na kwa kipindi kirefu amebugudhiwa kwa mura mrefu sana. Je ni ujumbe gani wanaituma kwa walipa kodi na wafanya biashara wengine? Viongozi wa kisiasa na kiserikali wapo ? Maelekezo ya Rais, Naibu Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha yanadhauliwa. Je, sisi wengine vipi...
  15. M

    Unyanyasaji wa Mchina daraja la Busisi Tanzania

    Swala la Wachina kunyanyasa watanzanja siyo jambo geni. Sikulizen Taarifa Mbaya daraja la Busisi, unyama mkubwa Wabongo na Wachina hapatoshi.
  16. M

    Wabunge wa CHADEMA (Covid-19) Nao Wajiuzulu

    Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena. COVID-19 waachie ngazi mara moja
  17. M

    Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

    Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
  18. M

    Samia Vs. Ndugai: Suluhisho ni Katiba Mpya. Wana CCM tuidai

    Bila shaka, malumbano kati ya speaker na rais Samia imeonyesha wazi kwamba, hakuna uhuru wa mihimili yetu ya uongozi. Mahakama haina uhuru wake, Bunge halina uhuru wake na Speaker pia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuomba msamaha pasipo na sababu ya msingi, na Rais Samia ameonyesha udhaifu wa...
  19. M

    Vyama Mamluki ni Vyama Gani!

    Katika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya. Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?
Back
Top Bottom