madudu

Esther Madudu (Born in 1980) is a Ugandan midwife. Madudu has had nearly 15 years of experience first at a maternity home in Kumi District, and now working at Tiriri Health Center IV in Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia. Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa. Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao. Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na...
  2. MDAU TZ

    Sakata la NHIF na madudu ya Mashirika ya umma

    KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa. Mgomo huo uliotolewa na baazi...
  3. Pascal Mayalla

    Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
  4. R

    Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  5. MK254

    Wajuba wa Ukraine wadukua email ya mkuu wa majeshi wa Urusi na kuanika madudu mengi tu

    Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya.... ================== ROMAN ERSHOV. PHOTO: NATIONAL RESISTANCE CENTER Ukrainian activists from the Cyber...
  6. Q

    Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

    Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—. .
  7. FaizaFoxy

    Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

    Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao. Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Bila Shaka mpo Pouwa! Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia. Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
  9. benzemah

    Madudu ya Vyama vya Siasa kwenye Ripoti ya CAG

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi. Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na Democratic Party (DP) na CCM. Hayo yamo kwenye...
  10. wanzagitalewa

    Madudu ukaguzi maalum wa CAG upande wa REA 2015-2020

    UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (Sida). Kwamba Machi 2016, Tanzania na Sida waliingia mkataba wa ufadhili wa...
  11. O

    CAG abainisha madudu fedha za Uviko-19

    Moshi. Ripoti ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa. Septemba 7, 2021 Tanzania ilipokea mkopo wenye masharti nafuu wa...
  12. O

    Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  13. BARD AI

    TAKUKURU yabaini madudu kwenye miradi ya Tsh. Biilioni 6.5 Mwanza

    Miradi 22 yenye thamani ya zaidi ya Sh6.5 bilioni iliyochunguza na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) mkoani Mwanza imebainika kuwa na mapungufu kadhaa ikiwemo ukiukwaji wa taratibu za manunuzi, kasi ndogo ya utekelezaji na ubora hafifu. Kwa mujibu wa Mkuu wa...
  14. C

    Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia: Mifumo wa kudai haki jinai nchini imeharibika kutokana na kupuuza mifumo ya maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023 Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
  16. Pascal Mayalla

    Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili! Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
  17. Pascal Mayalla

    Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  18. saidoo25

    Mnaoshangilia mbolea ya ruzuku mnajua madudu yaliyojificha ndani? Msikilize DC huyu

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe Mathayo Maselle amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa bilioni 150 kwa ajili ya mbolea ya ruzuku ili iwafikie wakulima lakini kwa makusudi na kwa uzembe mkubwa uliofanywa na watendaji wa serikali kuhujumu jiitihada za Serikali kwa za utoaji wa mbolea ruzuku 'Kwa...
  19. Jidu La Mabambasi

    Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

    Siye wajuvi wa masuala ya ujenzi tulionya na kuonya, tukaambiwa tunatetea ulaji wetu. Kuna wawakilishi wetu tuliwatuma hadi Bungeni kupinga Force Accout , lakini walibezwa kuwa makandarasi ni mafisadi wa fedhe za umma. Sasa kazi nyingi zilifanywa kwa spidi kubwa kwa kumtumia fundi Maiko. Madudu...
Back
Top Bottom